Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1645528565109.png
 
Huyu speaker wa bunge lenu anayeitwa Tulia Ackson ni mrembo sana. Hahaha


View attachment 2127290View attachment 2127291View attachment 2127293
Hawa wasichana wa tanzania achana nao tu..kuna mwengine nilikua na yeye miaka 6 iliopita..msichana alikua bomba vinoma....alafu alikua na lugha nyingine tamu sana ..kuna vitu anaeza kukwambia wewe mwenyewe ukajikuta umetoka msa ukaenda Dar kumuona mara hio..alikua na sauti nyingine poa sana..hii ni ushuhudia niliojionea mimi mwenyewe...
 
Shillingi la Kenya linapoteza thamani dhidi ya dollar haraka sana. Hili ni tatizo kubwa kushinda hata la deni kubwa la Kenya. I hope CBK will be able to control its depreciation.
kumbe na ww unajua naomba uwajulishe na wenzako wasiojua pia 🤣🤣🤣🤣🤣
 
umesomea uchumi?..hii ni kweli maana hapo deni linapanda na lenyewe
Ndio nimelisomea. Pesa kukosa thamani ni tatizo kubwa sana. Madhara yake ni mengi tu. Japo exporters wanabenefit, bei ya imports inaongezeka, hio inaleta inflation katika uchumi. Upande mwingine deni linaongezeka kwa maana lazima yalipwe kutumia dollar ilhali dollar inakuwa more expensive na adimu kwenye market.
 
Back
Top Bottom