komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Vioingo ni project inayoendelea ina phases kadhaa, sass ngojeni moto wake manake naona umeshapanicHivi vijumba 6 ndiyo unataka kufananisha na Fumba?
Chukua hivi vijumba 6 changanya na Karen na bado huwezi fikia Fumba mzee.
