Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FLEr1EGX0AEVBSj.jpg
 
nadhani tram itakuwa Dodoma na kama Dar basi kuanzia phase 5! Maana kuziweka inamaana kutindua zile lanes! Parefu hapo!
Inakaa Hujanielewa yani kuanzia awamu ya tatu ambayo haijajengwa , brt zitakazojengwa huko mbeleni ziwe na uwezo wa kupitisha tram au sehemu brt zinapoishia kwa mfano mbagala rangi 3 wajenge njia za tram mpaka uko kisemvule sijui mkuranga
 
Magu alikuwa kipanga kivipi, enzi hizo akimaliza kidato Cha sita alipata daraja la ngapi lililomfanya akasomee diploma ya kemia ya ualimu badala ya shahada.
😎 1 Principal ya combination ya science = 3 Principals za combination ya art
 
Inakaa Hujanielewa yani kuanzia awamu ya tatu ambayo haijajengwa , brt zitakazojengwa huko mbeleni ziwe na uwezo wa kupitisha tram au sehemu brt zinapoishia kwa mfano mbagala rangi 3 wajenge njia za tram mpaka uko kisemvule sijui mkuranga
Awamu ya tatu ina maana kuomba mkopo tena!
 
Toa tongo tongo kwanza

A market economy is an economic system where two forces, known as supply and demand, direct the production of goods and services. Market economies are not controlled by a central authority (like a government) and are instead based on voluntary exchange.

Jiulize wewe sasa km tz mpo wapi
Usikariri vitabu vilivyoandikwa Kibera wewe aunt. Market economy does not work in a vacuum. There is always an intervention or regulatory system mostly government systems/instutions responsible for setting better environment and monitoring system i.e fair trading environment (policies/rules/procedure) for what you call market economy.
 
Mbona hasira, mzee soma uelewe kwanza
 
Kwa mwendo huo inaonekana wazi wewe hukusoma sayansi kwa kiwango Cha juu na hesabu huwezi ndio maana unafikiri aliyesoma sayansi ana akili iliyopitiliza.
Tanzania ufaulu unaanzia division four na kipindi Cha nyuma mwenye EEE alikuwa anaingia university kuchukua shahada ila jamaa alichemka akaenda kusoma stashada ya kemia ya ualimu.
Kumbuka hata thesis yake ya korosho Ina walakini ndio maana kiingereza kilikiuwa kinamsumbua kwa mtu aliye jinasibu kusoma kiingereza Toka kidato Cha kwanza mpaka uzamivu na alitetea thesis zake.

Wewe uko fluent kwenye lugha ya Kingereza?
Maana mmesoma hkl na hata kujieleza tu hamuwezi.
 
Ndio hapo mtu wa maumuzi magumu anahitajika
si lazma kwanza phase III ni ile ya kwenda Gongo la Mboto na kuna MGR inapita the same corridor inayoweza kuwa-linked up na JNIA pia all the way to Gongo la Mboto-Pugu! Vitu vingine ni ucheleweshwaji wa maendeleo kuanza ku-procrastinate mipango! Tram sioni umuhimu wake na kuna nchi nyingi nazijua zimetoa tram na kuweka BRT!
 
Ata comedy zao wanaonesha kwamba vitu vimepanda bei uko kenya ila Kuna watu umu wanapinga mpaka bas😅
 
Back
Top Bottom