Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, Masaki ya apartments milioni moja ikifika hii level ya Karen njoo kwenye meza ya mazungumzo

Posh Karen ranked among top 10 luxury home hotspots in the world

Naona umepost arial view 😂😂😂, hakuna hata mtu mmoja anaekataa kama Karen kuna nyumba nzuri (tho it's no where close to be compared to Fumba town Zanzibar ) Ila shida ni kwamba hakuna barabara za lami in almost the whole area 😂😂😂, Masaki is better than Karen. Kuhusu luxurious estate za kwetu ni bora kuliko chochote mlichonacho back home.. Linganisha na fumba tow 👇.. is Karen even close to Fumba town.? Hii ni world class estate kabisa..
fumbauptown_1622502063242114.jpg
fumbauptown_1622771505018800.jpg
AERIAL-NEW-DJI_0882-scaled.jpg
FT-OBLIQUE+VIEW+-+Copy.jpg
1920x1080.jpg
9e9d0fbbc01336e24edfcb0dcc15209d.jpg
maxresdefault(92).jpg
292729479.jpg
Villas-for-sale-in-Zanzibar-77.jpg
hii sio middle East bruh, hii ni bongo land..
 
Wewe tofauti yako na kondoo ni harufu.

Sasa juu wewe ni kondoo unadhani kila mtu ni kondoo humu!

Mkiambiwa mfanye tafiti kabla ya kuokota okota picha kondoo hamsikii.
Tena ziliharibiwa kwa kukosa phytosanitary documents na zilikuwa tani 3.5 kondoo wewe.

Huyo minister tayari ashafungua maghala ya kuuza chakula Sudan kusini na Congo, sasa hivi yuko kwenye hatua za kufungua ghala la kuuza chakula Mombasa kondoo wewe.

Kenya nzima hakuna minister anayemfikia huyo minister kondoo wewe.

Level zenu ni hizi kondoo wa kienyeji wewe.

Kazi ni kudanganywa kama makondoo 2022.
Iyo pic Ni ya January this year,
Msibebewe akili Kila wakati,

Sasa chakula kuuza south Sudan iko na value Gani!!!
Mahindi maharagwe !!!
 
Uwezo wenu wa kung'amua nadhani ndio shida,ulitaka aseme tu cha mkandarasi,maelezo hujasikia.Nikikumbushe tu hicho kichwa ni sehemu ya mkataba wa SGR.Msilete mada sisizo na msingi
Sasa hiyo tweet ya Gerson haitoi hata context ya delivery! Hajasema kuwa hicho kichwa ni cha mkandarasi na kitatumika kwenye testing. Kwasababu kuna major delivery ya treni Nyingine April.

 
Back
Top Bottom