Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio kwamba mtapenda bali itawalazimu, maana viwanda vyetu vitakuwa vina produce products kwa gharama nafuu kuliko viwanda vyenu cz tutakuwa na umeme wa kutosha na wa bei nafuu, hivyo kupelekea kuteka soko la finished goods hapa EA na SADC pia.
Nakuambia hata finished goods zenu mkiziuza bure hatutakubali ziingie huku.
 
Zile picha mbili za apartments na iliyoandikwa dagoretti sasa zimewacha kuwa Karen? Utatii! 😂
umekimbia tayari nye nye nye 😂😂😂😂 vumbi tupu eti karen ufananishe na masaki ni sawa mbingu na ardhi
 

yes haya shangilia 🤣🤣👇👇👇
DDEDF8A6-9A7C-44C6-98EF-F90E05B73E0A.jpeg
 
Ni hekima pia kutumia kichache ulicho nacho vizuri.
unamaanisha nini? Ndege zetu zinaenda Ufaransa na Ubelgiji? Yaani unataka kusema kupanda kwake ndege ya Emirates na kutumia gulf stream gharama zipo wapi? Amekaa zaidi ya wiki France halafu akaenda Belgium hebu kwa haraka haraka piga mahesabu gharama za kui-park huko! Mimi binafsi sijaona tatizo la yeye kupanda commercial flight Emirates!
 
kuna shida gani hapo??🤣🤣🤣👇👇
View attachment 2127195
Kuna mtu Munjombe anadai ati Mkataba umesema vifaa vya mkandarasi yaani Yepi Merkezi lazma viwe vipya ina maana aingie gharama ya kununua vichwa vipya kwa ajili ya testing kwa kila mradi! Ikumbukwe kabla ya hapo Yapi merkezi walikuwa Ethiopia, Senegal pia nchi zingine za middle east na Uturuki yenyewe! Jamani vichwa vya treni si magari!

 
urhhehehheheheheh leo unaikana karen 🤣🤣🤣🤣🤣 hamuwezi nipenda nyinyi mwambie mwenzako asiponijibu mm hua namka makavu live
Sasa unataka nikubali Dagoretti ni Karen ili iweje? Ndio nikufurahishe ama? Karen ukienda hutatamani kurudi uswazini Dar kwenye joto
 
Back
Top Bottom