Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Captain Deck View.

IMG_4905.jpg
 
Moja kati ya bidhaa za thamani Tanzania inauza sana Kenya ni mbao

Leo TFS imetoa miche million 1 bure ya pines kama ilivyo miaka yote kwa wananchi Sao Hill, baada ya miaka 6 hii miche million 1 inaenda kuwa millions of dollars na Kenya ni soko moja wapo

 
Dunia unaijua wewe, Acha upumbavu .. taja hapa hapa Africa, hiyo ni posh area yenye inatajika kidunia .? fala kweli wewe.. owky these are houses for porverty elevation project in China (houses for poor pp in the villages) View attachment 2126453View attachment 2126455View attachment 2126457View attachment 2126458View attachment 2126460alafu uko hapa kupiga kelele Karen kutajika katika level za dunia , wachina maskini wanaishi maeneo mazuri kuliko matajiri uko kwenu, mitaa ya Karen Ina vumbi, haina hata side walks .. unapiga kelele kutajika duniani fala kweli wewe

Ona hiyo Karen sasa View attachment 2126472View attachment 2126473View attachment 2126475View attachment 2126477, Dah noma sana.. wachana na articles zinazowajaza ujinga manzee
nyumba za maskini kwa kenya ni nyumba za matajiri posh

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Achana na mambo ya mitandao. Njoo utembee Karen, ukikutana na apartment mahali popote uje utuambie na usisahau kupiga picha upost humu tuone.

Taswira ya Karen ni hii hapa and this is how it looks like kila mahali View attachment 2127498View attachment 2127501

View attachment 2127499View attachment 2127504
Kwahiyo Karen yote ni hizi nyumba kumi tu .? 😂😂 Acha ufala wewe jamaa.. no paved roads in Karen still uko hapa kuitaja mbele ya Masaki, ar you crazy or something.?
 
Naona umepost arial view , hakuna hata mtu mmoja anaekataa kama Karen kuna nyumba nzuri (tho it's no where close to be compared to Fumba town Zanzibar ) Ila shida ni kwamba hakuna barabara za lami in almost the whole area , Masaki is better than Karen. Kuhusu luxurious estate za kwetu ni bora kuliko chochote mlichonacho back home.. Linganisha na fumba tow .. is Karen even close to Fumba town.? Hii ni world class estate kabisa.. View attachment 2127461View attachment 2127462View attachment 2127463View attachment 2127464View attachment 2127465View attachment 2127466View attachment 2127467View attachment 2127468View attachment 2127469hii sio middle East bruh, hii ni bongo land..
Umemfanyia ukatili mkubwa sn

Mwenzio hakuna alichobaki nacho zaidi ya estate, ss ukimwambia huko nako amechapwa utafanya akimbie battle
 
Arguing with a fool is such a difficult job, especially if the fool is a Tanzanian.

Bongolala, first and foremost, there are no apartments in Karen. Hakuna mahali utaenda Karen ukutane na apartment. Baadhi ya picha zako zinaonyesha vizuri Sana apartments and this one below is an example
View attachment 2126561
Sijui hiyo ni Karen gani iko na apartments!

Secondly, kwa jinsi ulivyomjinga you can't even take a minute to read the names of places you are posting here as Karen. Tangu lini Dagoretti ikawa Karen? This image is clearly written Dagoretti but you are still insisting it's Karen.
View attachment 2126611
Dagoretti and Karen are two different places

Listen bongolala, Tanganyika nzima hakuna mtaa inakaribia Karen. Hata utembee hadi wapi hutapata. Uliza huyu mwenzako akuadithie View attachment 2126592
nyie wakenya mshakuwa vichaa sasa,unabishana na reality

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom