Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,709
Chunga sana usipokonywe uraia wako kwa jinsi ulivyoongea
Chunga sana usipokonywe uraia wako kwa jinsi ulivyoongea
Aisee...!Ruto akila Mirungi HadharaniView attachment 2127214
Kuna mtu Munjombe anadai ati Mkataba umesema vifaa vya mkandarasi yaani Yepi Merkezi lazma viwe vipya ina maana aingie gharama ya kununua vichwa vipya kwa ajili ya testing kwa kila mradi! Ikumbukwe kabla ya hapo Yapi merkezi walikuwa Ethiopia, Senegal pia nchi zingine za middle east na Uturuki yenyewe!
Slum la karena 😂😂😂😂😂Sawa bongolala, Karen ni slum.
Uchafu na slums everywhere kama hizi sio? View attachment 2127146View attachment 2127149View attachment 2127156
Wewe kama nani mpumbavu mmoja! Chochote kunyaland inachokiingiza Tanzania na Tanzania itakiingiza kunyaland, jielimishe maana ya trade bilateral deals baina ya nchi na nchi!Nakuambia hata finished goods zenu mkiziuza bure hatutakubali ziingie huku.
Ukiona hivi ujue unapigaga penyewe 😂😂😂😂😂 Shikilia hapo hapo utaona mpaka na jf wanahama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ndio maana hawanipendi mwengine anakwambia hua hanijubu 😂😂😂😂
kuna shida gani hapo??🤣🤣🤣👇👇
View attachment 2127195
unamaanisha nini? Ndege zetu zinaenda Ufanransa na Ubelgiji? yaani unataka kusema kupanda kwake ndege ya Emirates na kutumia gulf stream gharama zipo wapi? Amekaa zaidi ya wiki France halafu akaenda Belgium hebu kwa haraka haraka piga mahesabu gharama za kui-park huko! Mimi binafsi sijaona tatizo la yeye kupanda commercial flight Emirates!
😂😂😂😂😂😂😂 kilaza mwenzako anasema hua hanijibu mm naww acha kunijibu basihasira za nini bongolala? Za dreamhouses kila mahali ama?
heheh tuliza kipapa sasa 🤣🤣🤣😁😁 I didn't say a word.
narudia tena 😂😂😂👇👇👇👇Sasa unataka nikubali Dagoretti ni Karen ili iweje? Ndio nikufurahishe ama? Karen ukienda hutatamani kurudi uswazini Dar kwenye joto
😂😂😂😂Ukiona hivi ujue unapigaga penyewe 😂😂😂😂😂 Shikilia hapo hapo utaona mpaka na jf wanahama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wacha tuone kama Kenya itakubali kununua unga wa mahindi iliosagwa. Kenyan millers ni cartel kubwa sana na hawawezi kubali unga wa mahindi uwe imported wakati tuna millers wanaoweza kusaga mahindi na ngano. Kuimport mahindi ni sawa lakini kuimport unga wa mahindi hilo haliwezekani kamwe.Hata kwenye ndege mlisema hamtopanda ndege za atcl ila nikuambie tu Wakenya wameanza kupanda TC kuja Tz na kurudi huko kwenu ilihali KQ zinakuja na kuondoka kila siku.
Mbona unga wenu ya mahindi uliosagwa haukubaliwi kuingia Kenya?mbona azam energy wala miraa wanatumia huko 😂😂😂
Nani kakudanganya unga wa Tanzania hauzwi kunyaland? Angalia dakika ya 7 hapa kupata ushahidi namna unga wa Tanzania ulivyoiteka kunyaland 😅😅😅😅Mbona unga wenu ya mahindi uliosagwa haukubaliwi kuingia Kenya?