Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uthe.png
 
please please.. kila mara unapo angalia gdp ya nchi flani, zingatia pia na idadi ya watu.! mfano nigeria kwa south africa itakua ushuzi sababu ya uwingi wa watu wengi saaana.!. 211m$490b vs 58m$415b.. ni wapi na wapi.?

kenya kwa tz haitakua ushuzi sababu tz 61m$65b, vs 47m$109b.. ni wapi na wapi.?

less kenya ingekua na 100m+ pple kama vile ethiopia, mungekua na sababu kamili ya kuikandamiza ukubwa wa gdp yetu kama ushuzi. lakini kwa sasa, younger brother anaizidi bigger brother kwa kila jambo. sio idadi ndogo sio uchumi mkubwa..

shida kubwa tuliyo nayo kwenye huu uzi ni kwamba, inakua ngori sana waTz humu kukubali matokeo ata kama ni wazi kabisa..

....🤔 tafakari ya babu
GDP has nothing to do with population

GDP can be bigger just because of reckless government spending

GDP = private consumption + gross private investment + government investment + government spending + (exports – imports).
 
JPM alikuwa kipanga wa wapi? .

Uzuri ni subjective.

Hakuna Rais wa kumzidi Samia kwa mambo aliyofanya mwaka mmja wa uongozi,narudia hayupo .

Unadhani unaweza jilinganisha kwenye academic performance na JPM ?
Mtu aliyosoma Science A- Level akafaulu huyo sio level yako wewe mzee wa HKL,
Wewe ulisoma masomo gani A-Level? I am assuming atleast ulifika A- Level
 
fuatilien hii hashtag,

linganisha na wanayosema humu

Si huwa komora096 NairobiWalker wanakesha humu wakipayuka bidhaa za Tanzania ni ghali kuliko Kenya? Sasa kimewasibu nini? Mafuta ltr 1 ni 6,600 😂😂😂

MK254 na Tony254 husema wao wana service economy mambo ya kilimo walishavuka ndio maana hawalimi😅😅😅



 
Si huwa komora096 NairobiWalker wanakesha humu wakipayuka bidhaa za Tanzania ni ghali kuliko Kenya? Sasa kimewasibu nini? Mafuta ltr 1 ni 6,600 😂😂😂

MK254 na Tony254 husema wao wana service economy mambo ya kilimo walishavuka ndio maana hawalimi😅😅😅




Kumbe KG 1 ya sukari Kenya ni 5000 🤣 sasa naiona Zimbabwe mpya 🤩🤩🤩
 
Si huwa komora096 NairobiWalker wanakesha humu wakipayuka bidhaa za Tanzania ni ghali kuliko Kenya? Sasa kimewasibu nini? Mafuta ltr 1 ni 6,600

MK254 na Tony254 husema wao wana service economy mambo ya kilimo walishavuka ndio maana hawalimi





SERVICE ECONOMY? stage zingine wameruka au wameshapita siku nyingi.
 
Unadhani unaweza jilinganisha kwenye academic performance na JPM ?
Mtu aliyosoma Science A- Level akafaulu huyo sio level yako wewe mzee wa HKL,
Wewe ulisoma masomo gani A-Level? I am assuming atleast ulifika A- Level
Una vituko wewe jamaa,kwa hiyo wewe ulisomea Kiswahili? Weka vyeti vyake kuanzia O level na A level na mimi nikupe vyangu.

Kusoma Sayansi ndio nini? Nyerere na MKapa walisoma science? Wale rekodi zao zipo na walikuwa bright na kuongoza darasani.Za Mwendazake ziko wapi?

Kipanga hawezi foji PhD 😝😝😝
 
Kikwete ni kiongozi bora aliyeleta mwamko mpya kwenye sector binafsi ni kipindi chake sekta binafsi ilikua sana uongozi nauchumi sio kugusa vitu vichache na kudunda navyo it is wide and integrative phenomenon.Angeweza kutumia vilungu kuzima ukosoaji lakini kwa ni kiongozi wa kileo hakutaka kuingia huko kama JPM huku akijua umaarufu wake ungeingia hatarini.JPM alipambana kumzima umaarufu ili watu wapoteze legacy ya aliyepita ni kawaida katika uongozi kutumia mbinu ili watu waondoke kwenye kivuli cha mtangulizi.In my opinion JK anabaki kua bora kwenye uchumi japo kulikua na madhaifu kadhaa but that is humanity.
Mwana uchumi mzuri.Politics is all about economy and Law na sio physics sijui daktari nk
 
Si huwa komora096 NairobiWalker wanakesha humu wakipayuka bidhaa za Tanzania ni ghali kuliko Kenya? Sasa kimewasibu nini? Mafuta ltr 1 ni 6,600 😂😂😂

MK254 na Tony254 husema wao wana service economy mambo ya kilimo walishavuka ndio maana hawalimi😅😅😅




just like it's other emerging market counterparts, kenya's economy is a service driven one. 62% comes from financial and telecommunication service sector, only 22% agriculture


Screenshot_20220221-093737_Gallery.jpg
 
Tangu uanze huu ukosefu wako wa adabu umesaidia nini nchi?
Huu ukosefu wako wa adabu ndo unaleta siasa za kijinga humu.

SSH ndo rais wa JMT na hakuna kitu utafanya. (Hii ipenye kabisa kwenye ubongo wako)
Huyo SA wako ni mpuuzi tu na sisi tunapinga upuuzi ,ona sasa anataka wafanyakazi wa serikali wataje dini na kabila zao ,pia nanayumia mamilioni ya pesa kwenye sensa wakati vitambulisho vya taifa vimekwama ,sasa hapo upumbavu ni kwamba vitambulisho vya taifa vina taharifa zote za wafanyakazi wa serikali pamoja na makabila yao ,kwanini wasitumie hivyo kujua kabila hapo ni mambo ya ufisadi tu kunawahuni wa sa100 wananufaika na huo upumbaavu,moja ya kazi ya vitambulisho vya taifa vya kisasa ni kuwa na taharifa zote za mtu husika,
 
tanganyika have all the rights to beat us in terms of purchasing power parity (ppp), due to their big size of population, the way china beats united states for instance.. but you still however find that, we still beat them in this mode of gdp. ie. $250b vs $200b. yani we beat tanganyika from every angle, 'missionary and even bendover' 😆
 
Back
Top Bottom