The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Naonea huruma sana hizi jirani expressway vs Projects kama zote. Sio fair kbs!Ushawatetemesha alafu unawapa relief![]()
Daima hatuwasubiri jirani wazembe na wapumbavu kama hawa, watakoma kuwa karibu na nchi tajiriNaonea huruma sana hizi jirani expressway vs Projects kama zote. Sio fair kbs!







Usitegemee kuwaona mida ya hivi karibuni nimeshangaa sana wanatamba kila siku Karen kumbe ni ushagoo tu.
Karen imevuliwa chupi humu, ina nyumba kumi zinageuzwa geuzwa ili kuongopea watu eti Karen iko sawa na MasakiUsitegemee kuwaona mida ya hivi karibuni nimeshangaa sana wanatamba kila siku Karen kumbe ni ushagoo tu.







Hawa jamaa kichwani ni shida sanaIn the world![]()


Walivyo na roho mbaya wanaweza kufa kwa blood pressureJirani usipate kiwewe!!!Ngoja tusubiri.









Hili ndio lile joka ulilokuwa unawaonyesha. 😅😅😅
Ndio znakuja hizi anko tusije jiandaa kwa shangwe afu wakaleta low quality
Usitegemee low quality hata siku moja bablai, kadogosa ni mtu mbadi.. anachojua yeye ni kuwatesa jirani tu 😂😂😂Ndio znakuja hizi anko tusije jiandaa kwa shangwe afu wakaleta low quality
We ngoja mkuu nitawaua kwa masimango humu na bahati yao simu yangu imeribika ila soon nitakuwa hewani watakoma humuHili ndio lile joka ulilokuwa unawaonyesha.![]()







Mm bado nipo na alhaji Nicxie ambaye alikuwa anaongelea kuhusu Karen ghafla kakimbiaUsitegemee low quality hata siku moja bablai, kadogosa ni mtu mbadi.. anachojua yeye ni kuwatesa jirani tu![]()








