Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arguing with a fool is such a difficult job, especially if the fool is a Tanzanian.

Bongolala, first and foremost, there are no apartments in Karen. Hakuna mahali utaenda Karen ukutane na apartment. Baadhi ya picha zako zinaonyesha vizuri Sana apartments and this one below is an example
View attachment 2126561
Sijui hiyo ni Karen gani iko na apartments!

Secondly, kwa jinsi ulivyomjinga you can't even take a minute to read the names of places you are posting here as Karen. Tangu lini Dagoretti ikawa Karen? This image is clearly written Dagoretti but you are still insisting it's Karen.
View attachment 2126611
Dagoretti and Karen are two different places

Listen bongolala, Tanganyika nzima hakuna mtaa inakaribia Karen. Hata utembee hadi wapi hutapata. Uliza huyu mwenzako akuadithie View attachment 2126592
Huyo mimi huwa simjibu. Mbishi mjinga. Yani Hugo kubidhana naye heri nichukue mop niingie indian ocean nianze kumop.
 
Waliskia tunaexport avocado wakaona pia wao wajaribu.🤣🤣🤣
Screenshot_20220122-203910.jpg
 
Huyo ni incompetent! Ameshafanya upotoshaji Mwingi sana na niko surprised mpaka sasa bado ana ajira.
Uwezo wenu wa kung'amua nadhani ndio shida,ulitaka aseme tu cha mkandarasi,maelezo hujasikia.Nikikumbushe tu hicho kichwa ni sehemu ya mkataba wa SGR.Msilete mada sisizo na msingi
 
Waliskia tunaexport avocado wakaona pia wao wajaribu.View attachment 2126668
Avocados mnazo export zinatoka Tz and trust me, turn over yenu ishaanza kushuka kwa kasi baada ya Tz kuanza kuuza avocado zake bila kuwahusisha nyie ambao ni mawakala, so expect bad news at the end of this year kuhusu avocado business
 
Unaona jinsi Tanzania mnavyotutegemea sisi kibiashara? Kwa hivyo mpunguze roho mbaya.

Cc Geza Ulole
siyo bidhaa, tunachouza kwa wingi kenya ni raw materials, wakunya wanafanya hila nyingi kuzuia bidhaa zetu za viwandani zisiingie kenya, time will tell hili halikubaliki
 
Avocados mnazo export zinatoka Tz and trust me, turn over yenu ishaanza kushuka kwa kasi baada ya Tz kuanza kuuza avocado zake bila kuwahusisha nyie ambao ni mawakala, so expect bad news at the end of this year kuhusu avocado business
Na waelewe kwamba mashamba ya maparachichi yanaongezeka Kwa Kasi Sana ukanda wa nyanda za juu kusini achilia mbali yanayovunwa lkn kuna mashamba mapya maheka na maheka kila miezi yanalimwa biashara ya miche yake Tu yakupandia imekua Kwa Kasi Sana
 
Hapo ni kiwira mji mdogo wa rungwe mbeya wilaya ambayo inautajili mwingi wa ndizi na maparachichi viazi miwa kaloti nyanya kiujumla hakuna kitu kinakataa hapo labda mazoa ya hali ya joto Mpunga na minazi kiasi kwamba hayo maparachich na ndizi unayoyaona hapo katika kibebeo chake Unapata Kwa sh 1000.
255628333325_status_e08eab2409ed4d3b8992556ed6e6c666.jpg
 
Back
Top Bottom