Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya mambo nimeyasoma na nimeyaandika sana kabla ya wewe hujazaliwa.

Sisi ya kwetu inaitwa socialist market economy.
😛😛😛
Ole wako we mzee
Wewe unaongelea mambo na allocation mechanism ambapo yenu ni market socialism na yetu ni market capitalism
Hzo zote zipo under ownership
 
At this point, I don't know if they deliberately believe their own idiocy or they're real idiots.
Screenshot_20220222-100231.jpg
 
Hata mimi nineshangaa bei ya sukari ilifika huko lini. Hata 2kg haijafika 250/- nashangaa kuonantu anasema 1kg ni 250/-!
Hawa majamaa ni wapuusi wao hujitia kuijua kenya kumbe wanajipotosha wenyewe kw kutotumia ubongo wao vizuri..
Unapoona kitu usikurupuke nacho unapaswa kufanya research kwanza wala sio kukimbia kufanya conclusion wakati hujui ya kwamba kuna watu wapo ground na wanaelewa
 
Hivi wewe unajua maana ya neno "Economy", wacha kusoma vijarida vya "online" bila kuelewa maana yake.

Sasa kwenye hiyo "Market Economy" ni bidhaa au huduma gani inayozalishwa, "There is nor Economy if there is nor production of goods and or services".

Usichanganye Kati ya "type of Economies vs Systems of Economies".

Types of Economies.
1) Agriculture based
2)Industrial) Manufacturing based
3)Service based
4)Mixed/Combined

Systems of Economies
1) Capitalist
2)Socialist
3)Mixed
Subtypes
I)Free market economy
II)State controlled Economy
III)mixed/Combined
Ujuaji hua ni mbaya sana walai, yani mpka nakuskitikia

Economic systems can be categorized into four main types: traditional economies, command economies, mixed economies, and market economies.

Usione watu hawajishaua basi ukatake advantage, m km kitu nina uhakika nacho basi usithubutu kuingiza pua yako..nakuumbua ukimbia km wenzako wanavyofanya
 
Ujuaji hua ni mbaya sana walai, yani mpka nakuskitia

Economic systems can be categorized into four main types: traditional economies, command economies, mixed economies, and market economies.

Usione watu hawajishaua basi ukatake advantage, m km kitu nina uhakika nacho basi usithubutu kuingiza pua yako..nakuumbua ukimbia km wenzako wanavyofanya
Utapasuka kichwa kwa ku Google vitu vilivyo nje ya uwezo wako, kama you are a layman in such a profession just remain calm and nobody will lough at you.
 
unakumbuka nilikutukana sasa unaanza kuni-tag! Pita kule na achana na ninachofanya!
Yani wewe unitukane kwenye mitandao 😂😂😂 We fala sana. Unatafuta umaarufu kwenye mitandao. Utakufa mapema na kijiba.

Kila kitu unaweka siasa. Mwanangu umedoda hakuna wa kukujali. Acha kujipendekeza.
 
Yani wewe unitukane kwenye mitandao 😂😂😂 We fala sana. Unatafuta umaarufu kwenye mitandao. Utakufa mapema na kijiba.

Kila kitu unaweka siasa. Mwanangu umedoda hakuna wa kukujali. Acha kujipendekeza.
Asante na ufala wangu! umefurahi? sasa uache kuni-tag! Keep ur words from last time!
 
Utapasuka kichwa kwa ku Google vitu vilivyo nje ya uwezo wako, kama you are a layman in such a professional just remain calm and nobody will lough at you.

Huyo ni kati ya wale waliokariri kuwa kila kinachopatikana Google ni cha ukweli!

Hivyo usishangae, hawezi kuchangia mada bila kugoogle.

Mikunya iko hivo.
 
Utapasuka kichwa kwa ku Google vitu vilivyo nje ya uwezo wako, kama you are a layman in such a professional just remain calm and nobody will lough at you.
Lazima nimpe kitu aje aelewe mzee, hapa tupo mafunzoni pia licha ya wengine ubongo wao kuvurugwa
FB_IMG_16447336851270715.jpg
 
Huyo ni kati ya wale waliokariri kuwa kila kinachopatikana Google ni cha ukweli!

Hivyo usishangae, hawezi kuchangia mada bila kugoogle.

Mikunya iko hivo.
Hehehe!!hivi leo imekua google, unaweza google kitu kweli ambacho hata hujawai kiskia..
Maskini bongolala, eti jamaa unaanzaje ku google kuhusu upasuaji na wakati huna ujualo
 
Hawa majamaa ni wapuusi wao hujitia kuijua kenya kumbe wanajipotosha wenyewe kw kutotumia ubongo wao vizuri..
Unapoona kitu usikurupuke nacho unapaswa kufanya research kwanza wala sio kukimbia kufanya conclusion wakati hujui ya kwamba kuna watu wapo ground na wanaelewa
Tunawalisha,utalii mnatutegemea, biashara,remittances nk..

Kenya kwa Tanzania hamchomoki 😆😆.

Na hapa bisha 👇

Screenshot_20220222-105135.png
 
Back
Top Bottom