Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mwambie akuoneshe lami hzo barabara za karen na akikuonesha tu nitag πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 2126451View attachment 2126452View attachment 2126454

hii ndio karen eti ina barabara za lami hahahaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ushuzi wa kuku
View attachment 2126466View attachment 2126468View attachment 2126469
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hasa mitaa ndio ya kufananisha na Masaki .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Vumbi tupu πŸ˜‚πŸ˜‚ .. haya Nicxie na mwenzako NairobiWalker kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho kuitaja Karen kwenye sentence moja na Masaki. Huu uchafi hauwez fika level za masaki hata kwa bahati mbaya...
 
Kama Tzn iliongoza kwa hao wanajua kusoma tuu,why isiongoze kwa wasomi kama Zimbabwe,Kenya,Ghana au Nigeria?

Literacy rate ni ile ambayo mtu amepata elimu yenye tija sio ya kujua kusoma na kuandika kiswahili.
Kipimo cha Elimu yenye tija ni nini?, Kenya Kuna Elimu yenye tija?, Bado ukabila, njaa, unemployment, poor heath system, crime, poor civil engineering, na matatizo mengi ya kijamii hayapati ufumbuzi, ukisema Kenya, Ghana au Zimbabwe wameelimika unatumia vigezo vipi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hasa mitaa ndio ya kufananisha na Masaki .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Vumbi tupu πŸ˜‚πŸ˜‚ .. haya Nicxie na mwenzako NairobiWalker kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho kuitaja Karen kwenye sentence moja na Masaki. Huu uchafi hauwez fika level za masaki hata kwa bahati mbaya...
bora hata huyo Nicxie ana nafuu kidogo huyo mwengine ndio ushuzi mtupu πŸ˜‚πŸ˜‚ hujifanya kila kitu anakijua kumbe mavi ya kuku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ karen ni vumbi tupu wala hakuna maeneo yakutisha kabisa wanashindwa hata na tandale lami zimemwagika kila kona 🀣🀣🀣
 
hii ndio karen eti ina barabara za lami hahahaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ushuzi wa kuku
View attachment 2126466View attachment 2126468View attachment 2126469
Stop being desperate bongolala. Those are not Karen images. This is the Karen we all know
Screenshot_20210515-093524.png
Screenshot_20210515-093507.png
Screenshot_20210515-093620.png
Screenshot_20210515-093638.png
Screenshot_20220221-223853~2.png
Screenshot_20220221-224038~2.png
Screenshot_20220221-223759~2.png
 
bora hata huyo Nicxie ana nafuu kidogo huyo mwengine ndio ushuzi mtupu πŸ˜‚πŸ˜‚ hujifanya kila kitu anakijua kumbe mavi ya kuku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ karen ni vumbi tupu wala hakuna maeneo yakutisha kabisa wanashindwa hata na tandale lami zimemwagika kila kona 🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimeipitia google Earth nimeiona ni kituko bro, hakuna lami, ni mapori mengi kuliko nyumba .. alafu bila aibu wanaitaja eti mbele ya masaki.. Dah.! It's so sad .. jamaa ni waongo sana hawa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dunia unaijua wewe, Acha upumbavu .. taja hapa hapa Africa, hiyo ni posh area yenye inatajika kidunia .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ fala kweli wewe.. owky these are houses for porverty elevation project in China (houses for poor pp in the villages) πŸ‘‡View attachment 2126453View attachment 2126455View attachment 2126457View attachment 2126458View attachment 2126460alafu uko hapa kupiga kelele Karen kutajika katika level za dunia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, wachina maskini wanaishi maeneo mazuri kuliko matajiri uko kwenu, mitaa ya Karen Ina vumbi, haina hata side walks .. unapiga kelele kutajika duniani πŸ˜‚πŸ˜‚ fala kweli wewe

Ona hiyo Karen sasa πŸ‘‡View attachment 2126472View attachment 2126473View attachment 2126475View attachment 2126477πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Dah noma sana.. wachana na articles zinazowajaza ujinga manzee
Nilishakuambia upeleke malalamishi yako knighFrank. Kumbe bado uko hapa kutoa povu?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimeipitia google Earth nimeiona ni kituko bro, hakuna lami, ni mapori mengi kuliko nyumba .. alafu bila aibu wanaitaja eti mbele ya masaki.. Dah.! It's so sad .. jamaa ni waongo sana hawa
alaf mbaya zaidi uongo wa mkenya hauna faida kabisa yeye yupo radhi alale kwenye zizi la nguruwe lakini asb aamke avae suti akajioneshe kwa watu kua yeye ana maisha mazuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom