Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi malazy mna nini cha kusifia?
Kaka hesabu hizi,ukichoka uniambie;
JNHP mafundi wapo site wanachapa kazi.
SGR na hii sio kama ile kerosene train ya pale kwenu,hii hamtowahi kumiliki.

Kigongo-busisi itakuwa longest bridge in east and central Africa apart from salender and kigamboni bridges in tz.

Ujenzi wa mji mpya wa dodoma-huu mji unajengwa kwa kuzingatia vigezo vyote vya kimataifa nahisi miaka 05 ijayo itakuwa inakimbizana na Nairobi.

Ujenzi wa BRT phase 3 ambayo pale kwenu ndio bado mnang'ang'ana nayo ata km 4 haifiki na
Nimetaja kwa uchache tu na uwa hatujisifu kama nyie kuanzia asubuhi mpaka jioni ni project moja tu yaani ata hamuoni aibu na shida zenu zimewajaa
 
Maisha Kenya ni magumu usipinge, ndio maana wakenya wengi wanaomba wangezaliwa Tanzania

View attachment 2125759
kenya sihami. hebu cheki tu venye hio mulla ni supuu yani
Banknote24.eu_-768x373.jpg
products-35940.jpg


Vs

malaria
products-17430.jpg


nb: Tsh 10,000/- is equivalent to Ksh 400/- only.!
 
Hivi watz mbona mmewehuka sana humu ndani?hivi mtu na akili zako unakaa kumsifia raisi kutwa kucha kwani uyo raisi yuko hapo kufanya nn hasa?

Tumeshakubaliana kwamba tumechelewa sana na wanalijua hilo wafanye kazi walizoomba kufanya iyo ni ajira kama ajira zingine.Tunahitaji barabara all weather zipitike,maji,umeme,elimu nzuri,ajira za uhakika,vyakula nk.

Kila mtu atimize wajibu wake....sio sahihi kabisa kukaa unamsifia raisi tangu asubuhi hadi usiku all day everyday
Hawa jamaa wanaakera sana asee... kama vipi wafungue uzi wao huko watoke humu wakatukaniane huko shiit
 
Back
Top Bottom