๐๐๐ Kwisha manenoNilishakuambia upeleke malalamishi yako knighFrank. Kumbe bado uko hapa kutoa povu?
fungua video usikulize kwanza, mjuaji wa kila jambo
na kwa taarifa fupi hio ni kichwa cha umeme cha mkandarasi kwa ajili ya majaribio
mwezi wa nne utashuhudia bullet trainkaa mkao wa kula huu mwaka sio mzuri kwenu

huyu jamaa alivyoandika atapotosha watu.. badala amalizie kusema ni cha mkandarasi
Heheheheee mkuu mabadiliko hayaji kirahisi hivyo, tumetoka mbali enzi zile wakunya wanatuburuza ktk kila sekta mpk ss wana adabu usidhani ni kazi rahisi, lkn pia usichanganywe na hawa wahuni wasio na adabu eti jpm hajafanya kitu huo ni uongo na wengi wao waliguswa lkn pia huenda unabishana na N.a.p.e humu au M.a.k.a.m.b.a so usife moyo wewe pambana ila at least now muelekeo unaonekana, pambana mzee wacha roho nyepesi hivyo.Kwa sisi ambao hatupendelei mambo ya siasa sasa RASMI hili jukwa halituhusu tena wabongo ile kasi ya kupost miradi ya maendeleo imeshuka sasa nikupost screenshots za mama kwa sasa kwenye hii battle wakenya wapo mbele yetu. Ni dhahiri siasa inatugawa sasa tunabishana wenyewe na hata kutukanana wenyewe Daah mambo yamebadilika sanaa kwasasa hata sijiamin kuchangia chochote humu mara kumi nikaangalie juma lokole amesema nini jukwaa la celebrities.
Hakuna siasa za kijinga mkuu wacha hayo mawazo, huwezi kufanya kila mtu akubaliane na unachosema, wewe nani mpk kila unachosema kikubalike? Wewe Mungur? Lazima upambane kubadilisha mind set za watu.kabisa yaani kuna watu wanazingua sana humu,wanatuletea siasa za kijinga
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Arguing with a fool is such a difficult job, especially if the fool is a Tanzanian.niambie kua hii sio karen nifunge acc sasa hvi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐View attachment 2126526View attachment 2126527View attachment 2126528View attachment 2126530View attachment 2126531View attachment 2126532View attachment 2126533View attachment 2126535View attachment 2126537View attachment 2126539
Afike A level wapi huyo kima.Unadhani unaweza jilinganisha kwenye academic performance na JPM ?
Mtu aliyosoma Science A- Level akafaulu huyo sio level yako wewe mzee wa HKL,
Wewe ulisoma masomo gani A-Level? I am assuming atleast ulifika A- Level
Mzee nimekuvulia kofia, unabisha na vitu vinavyoonekana ๐๐๐ kmmk umetengwa wewe baba..Arguing with a fool is such a difficult job, especially if the fool is a Tanzanian.
Bongolala, first and foremost, there are no apartments in Karen. Hakuna mahali utaenda Karen ukutane na apartment. Baadhi ya picha zako zinaonyesha vizuri Sana apartments and this one below is an example
View attachment 2126561
Sijui hiyo ni Karen gani iko na apartments!
Secondly, kwa jinsi ulivyomjinga you can't even take a minute to read the names of places you are posting here as Karen. Tangu lini Dagoretti ikawa Karen? This image is clearly written Dagoretti but you are still insisting it's Karen.
View attachment 2126571
Dagoretti and Karen are two different places
Listen bongolala, Tanganyika nzima hakuna mtaa inakaribia Karen. Hata utembee hadi wapi hutapata. Uliza huyu mwenzako akuadithie View attachment 2126592
Wakuu leo nimepita pande za Kipawa washaweka nyaya aisee, sijapiga picha kwasababu kwasasa natumia kimeo picha zingetoka hovyo ila nyaya wameweka wakuu.
leo nataka hvi ๐๐๐Arguing with a fool is such a difficult job, especially if the fool is a Tanzanian.
Bongolala, first and foremost, there are no apartments in Karen. Hakuna mahali utaenda Karen ukutane na apartment. Baadhi ya picha zako zinaonyesha vizuri Sana apartments and this one below is an example
View attachment 2126561
Sijui hiyo ni Karen gani iko na apartments!
Secondly, kwa jinsi ulivyomjinga you can't even take a minute to read the names of places you are posting here as Karen. Tangu lini Dagoretti ikawa Karen? This image is clearly written Dagoretti but you are still insisting it's Karen.
View attachment 2126611
Dagoretti and Karen are two different places
Listen bongolala, Tanganyika nzima hakuna mtaa inakaribia Karen. Hata utembee hadi wapi hutapata. Uliza huyu mwenzako akuadithie View attachment 2126592
utanielewa tuArguing with a fool is such a difficult job, especially if the fool is a Tanzanian.
Bongolala, first and foremost, there are no apartments in Karen. Hakuna mahali utaenda Karen ukutane na apartment. Baadhi ya picha zako zinaonyesha vizuri Sana apartments and this one below is an example
View attachment 2126561
Sijui hiyo ni Karen gani iko na apartments!
Secondly, kwa jinsi ulivyomjinga you can't even take a minute to read the names of places you are posting here as Karen. Tangu lini Dagoretti ikawa Karen? This image is clearly written Dagoretti but you are still insisting it's Karen.
View attachment 2126611
Dagoretti and Karen are two different places
Listen bongolala, Tanganyika nzima hakuna mtaa inakaribia Karen. Hata utembee hadi wapi hutapata. Uliza huyu mwenzako akuadithie View attachment 2126592
Kwa hivyo unataka nikubali kwamba Dagoretti ni Karen? Ama kwamba Karen kuna apartments wakati hazipo? Karen sio kama ile mtaa wenu wa kifahari Masaki iliyojaa apartments kila mahaliMzee nimekuvulia kofia, unabisha na vitu vinavyoonekana ๐๐๐ kmmk umetengwa wewe baba..
Zile picha mbili za apartments na iliyoandikwa dagoretti sasa zimewacha kuwa Karen? Utatii! ๐leo nataka hvi ๐๐๐
prove me wrong kua hii sio karen ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
ingia google earth unidanganye mm ๐คฃ๐คฃ
View attachment 2126614View attachment 2126615View attachment 2126616View attachment 2126617View attachment 2126618