KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
This chinese contractor by the way did a shoddy job truth be toldThe super Highways of Kunyaland
This chinese contractor by the way did a shoddy job truth be toldThe super Highways of Kunyaland
Mgr itabakia kusafirisha mizigo na abiria mikoanii, tunaitaji trams au metro zitakazofika kwenye makazi ya watu mfano tabata, segerea mwisho, kinyerezi, goba temeke hayo maeneo yanawakazi wengi hayataweza kufikiwa na brt na hayo maeneo njia ni nyembamba sana huwezi kujenga brt pamoja barabara za kawaidasi lazma kwanza phase III ni ile ya kwenda Gongo la Mboto na kuna MGR inapita the same corridor inayoweza kuwa-linked up na JNIA pia all the way to Gongo la Mboto-Pugu! Vitu vingine ni ucheleweshwaji wa maendeleo kuanza ku-procrastinate mipango! Tram sioni umuhimu wake na kuna nchi nyingi nazijua zimetoa tram na kuweka BRT!
Hapa unamaanisha nn?umepimaje ukapata hivyo? Considering nilisoma PCB wala sioni haja ya ku brag na iyo science....😎 1 Principal ya combination ya science = 3 Principals za combination ya art
Bongolala, project moja Kenya (Lapset) inashinda hizi takataka zote ulizotaja both in value and economic significance. JitathminiKaka hesabu hizi,ukichoka uniambie;
JNHP mafundi wapo site wanachapa kazi.
SGR na hii sio kama ile kerosene train ya pale kwenu,hii hamtowahi kumiliki.
Kigongo-busisi itakuwa longest bridge in east and central Africa apart from salender and kigamboni bridges in tz.
Ujenzi wa mji mpya wa dodoma-huu mji unajengwa kwa kuzingatia vigezo vyote vya kimataifa nahisi miaka 05 ijayo itakuwa inakimbizana na Nairobi.
Ujenzi wa BRT phase 3 ambayo pale kwenu ndio bado mnang'ang'ana nayo ata km 4 haifiki na
Nimetaja kwa uchache tu na uwa hatujisifu kama nyie kuanzia asubuhi mpaka jioni ni project moja tu yaani ata hamuoni aibu na shida zenu zimewajaa
Hivi wewe unajua maana ya neno "Economy", wacha kusoma vijarida vya "online" bila kuelewa maana yake.Toa tongo tongo kwanza
A market economy is an economic system where two forces, known as supply and demand, direct the production of goods and services. Market economies are not controlled by a central authority (like a government) and are instead based on voluntary exchange.
Jiulize wewe sasa km tz mpo wapi
Hata mimi nineshangaa bei ya sukari ilifika huko lini. Hata 2kg haijafika 250/- nashangaa kuonantu anasema 1kg ni 250/-!Mamaee, haya ndio maradhi ya kukesha twitter
Sukari inacheza 110 hapo wewe unakuja kuleta tweet zako za ajabu ajabu kw ajili ya political reasons..
Huwezi waelewa wakenya milele hko twitter mwisho utakua unajitesa mwnywe
Wakati wa Magufuli kulikua na kitu kinaitwab"Half combination", kwa mfano badala ya kuchagua "PCM" ili uendelee na mlolongo wa A-level, unaweza kuchagua nusu yake ili update kuajiriwa mapema, unaweza kuchagua "PC " au PM, au CM lakini lazima usome "Education" yaani "teaching".Atake wapi qualification ndio zilizompiga chini
Maendeleo kama hizi bado ni ndoto kule Mwanza, jiji lao la pili kwa ukubwa wakati miji midogo Kenya kama Kericho zipothe county of kericho on thursday 17th february 2022View attachment 2126014View attachment 2126024View attachment 2126011View attachment 2126012
Wacha kuitaja taja Mwanza kwenye upumbavu wako we chiziMaendeleo kama hizi bado ni ndoto kule Mwanza, jiji lao la pili kwa ukubwa wakati miji midogo Kenya kama Kericho zipo
Faida kwa nyinyi wazanzibar siyo kwa wabaraWEE LMAVI HEBU SIKIZA....HUYU MAMAA ANA HEKIMA KUU SANA...FAIDA ZA WATU KAMA HAWA HUWA HAZIJI MARA MOJA TU...HUCHUKUWA MUDA..BUT NI FAIDA KUBWA SANA...BUT IT REQUIRES WISDOM NDIO MTU AELEWE MAMBO KAMA HAYA....IKIWA AKILI NI KAMA ZA KWAKO AISEEE HUTOSAIDIKA....UNAFIKIRIA KAMA JIWE
Niletee barabara kama hiyo Mwanza nioneWacha kuitaja taja Mwanza kwenye upumbavu wako we chizi
Nenda kaoshe matako uko..Niletee barabara kama hiyo Mwanza nione
Acha uzuzu wewe zuzu kuu ,kwanza nikukumbushe uliwai kunipinga humu jf kuwa brt haiwezi kuwa na tram unakumbukaAwamu ya tatu ina maana kuomba mkopo tena!
Alafu uje unywe hayo maji 😂Nenda kaoshe matako uko..