TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Hilo tulikubali muda mbona maana tunajua huwezi kuwa mwizi bila kujua kukimbia..
#Salute to Kenyans on this...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo tulikubali muda mbona maana tunajua huwezi kuwa mwizi bila kujua kukimbia..
Kenya is a market based economy we punguani
Ungemjibu hoja zake, hoja hujibiwa kwa hoja wasomaji tupo tukifanya uchambuziUnapenda sn vijembe, shida yako ni uchonganishi, yn wewe huwa unapenda kuona watu wakikosana humu. Watu walishasahau huu ushetani wako lkn huchoki kugombanisha watu kwa huu upumbavu wako wa kutukana viongozi, kum.a.ma.ko wewe
Toa tongo tongo kwanzaKwa hiyo wengine ni non - market based economy!!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jama noma sana, ila kiukweli mikopo ukiitumia vizuri inakuinua hata kw mtu mmoja mmoja.lkn ukumbuke pia vile vile madeni yanajua kuporomosha hatari
Magu alikuwa kipanga kivipi, enzi hizo akimaliza kidato Cha sita alipata daraja la ngapi lililomfanya akasomee diploma ya kemia ya ualimu badala ya shahada.Ushahidi unaonesha waliofanya vizuri darasani (Vipanga) huwa wanafanya vizuri pia wakipata nafasi za uongozi, na waliofeli darasani huwa hawafanyi vizuri kwenye uongozi pale wanapopata nafasi,
Mfano
1.JK Nyerere alikuwa ni Kipanga darasani, kwenye uongozi akawa exceptional
2. Ben Mkapa, alikuwa kipanga darasani na akafanya vizuri wakati wa uongozi wake
3. JPM alikuwa ni Kipanga Darasani na Alifanya vizuri sana kwenye uongozi wake,
Haya sasa tuje kwa hawa wasee wa ku graduate chuo na Gentleman [emoji3][emoji3][emoji3]
JM Kikwete: Alijitahidi
A. H Mwinyi - Failure
S.S.Hassan , ongoing …. Let’s wish the best for her, kwa ground kila kitu ni hovyo.
I have no problem with mama, I like her and I wish her the best,
Note: Mimi pia ni Kipanga wa darasani, a reason I always expect the best, and I always do the best.
Beach kidimbwi noma sana, hyo life style hatari sanaMi kwanza neno 'Beachi Kidimbwi'' inanimalizanga tu [emoji23][emoji23]View attachment 2126060
We jamaa bana, kipanga anafanya diploma ya kemia ya ualimu[emoji1787][emoji1787]Magu alikuwa kipanga kivipi, enzi hizo akimaliza kidato Cha sita alipata daraja la ngapi lililomfanya akasomee diploma ya kemia ya ualimu badala ya shahada.
Atake wapi qualification ndio zilizompiga chiniWe jamaa bana, kipanga anafanya diploma ya kemia ya ualimu[emoji1787][emoji1787]
Labda kataka yeye mkuu
Hahhaa!!noma sana, umemkimbiza jamaa yakoAtake wapi qualification ndio zilizompiga chini
Kwa mwendo huo inaonekana wazi wewe hukusoma sayansi kwa kiwango Cha juu na hesabu huwezi ndio maana unafikiri aliyesoma sayansi ana akili iliyopitiliza.Unadhani unaweza jilinganisha kwenye academic performance na JPM ?
Mtu aliyosoma Science A- Level akafaulu huyo sio level yako wewe mzee wa HKL,
Wewe ulisoma masomo gani A-Level? I am assuming atleast ulifika A- Level
KIJILIMA....BICHI KIDI....MBWI