Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ningekuona una hekima kama ungepotezea.. sorry kama utajisikia vibaya
Peleka bias mzee hekima ambia wapuuzi wenzio wanaobagua Zanzibar kupewa mikopo pia na ina contribution kubwa pia kiutalii na Ubaguzi huu umeletwa na mwendazake! Mbona hatukulalamika resources zilivyokuwa zinapelekwa Mwanza? Ila sehemu nyingine ikipewa, nongwa ya kelele za kupinga! Arusha mbona hawalalamiki na wao wamekuwa waki-contribute kwenye utalii na madini pia? Tena waliporwa fedha za biashara zao (refer bureau de change saga)! Unani-quote support yangu ya miradi ya Mwanza ila ambacho sikujua ni chuki, wivu na ubinafsi wa watu wa huko dhidi ya wengine wanapopelekewa fursa pia!
 
ningekuona una hekima kama ungepotezea.. sorry kama utajisikia vibaya

Mipango ya Magu ni mikubwa! Ujue ana lots 2 bado kwenda Mwanza then Ijiji-Msongati then Isaka-Kigali then Mtwara-Mbamba bay then LNG then ujenzi wa jiji la Dodoma! Akae mbali na "les Affaires" Kikwete maana soon tutaona Ridhiwani Waziri mara wakina Makamba wakina Nape! Wote wana ambitions za higher office na si watendaji bali wazee wa makundi!

time to sleep!
 
Which British did you kick out? Lol, stop shifting goal posts, we are talking of SA.
We cut diplomatic ties with Britain after they recognized Ian Smith government.
But I don't see you gushing over the others like you do SA and I don't see them reciprocating the gesture.
That's Kenyan thing, we've always been doing us.
Thing remains, if I want to go to SA, I will go. If I want to do business with SA, I will go...................and I don't have to bootlick them. Continue bootlicking them when they don't even recognize you that much.
FYI, they're the one who started giving us a free pass.
 
with a huge size of kenyan economy, their is no way karikoo, dar gonna outperform eastleigh in terms of daily trade volumes and cash flow. nb: as a matter of fact, eastleigh serves the entire eastern and central africa region incld. drc, ethiopia and so on....
Screenshot_20220220-012615_YouTube.jpg
Screenshot_20220220-013227_YouTube.jpg
 
We tumbili unaongea uharo gani hapa.

Yule zalimu alituharibia Sana Nchi,Soma kishindo cha mama hapa

View attachment 2124182
Ifike muda hata ka heshima hatuna atleast tuwe na common sense..
Kubaki mnasifia au kumkashfu Marehemu haifanyi rais samia awe mzuri au mbaya.
Kwanza kumzungumzia Marehemu ni udhaifu mkubwa sana..
 
Ifike muda hata ka heshima hatuna atleast tuwe na common sense..
Kubaki mnasifia au kumkashfu Marehemu haifanyi rais samia awe mzuri au mbaya.
Kwanza kumzungumzia Marehemu ni udhaifu mkubwa sana..
Marehemu hukumbukwa kwa matendo yake iwe mema au mabaya.So huwezi lazimisha matamanio yako iwe kanuni kwa wote.
 
Huduma hii haipatikani katika Public Hospital yoyote hapa Afrika mashariki na Kati, ni Tanzania pekee.
Hata sisi tz tunakwenda huko huko chini ya kile kinacho pandwa na sa100 na kama serikali aijapiga marufuku wanasiasa kuwa wapiga kura,kitendo cha wanasiasa kuwa wapiga kura kimesababisha ushabiki wa kisiasa ,itafikia mtaani watu wakiuana kinacho angaliwa ni siasa yaani mtu wa chama gani kamuua mtu wa chama gani badala ya kuangalia tukio lenyewe ,kitendo cha wanasiasa kuwa wapiga kura kimesababisha vyama kuwa na wafuasi mashabiki "musukure"wasio sikia kitu wala kuelewa kitu zaidi ya kutetea vyama vyao kwa gharama yoyote,leo hii watu wahalifu wamejificha kwenye vyama vya siasa ,KAMA SIKU AFRIKA TUKIJUA KOSA KUBWA LA KURUHUSU WANASIASA KUWA WAPIGA KULA NA TUKAPIGA MARUFUKU HILO BASI TUTAEPUKANA NA MAMBO MENGI SANA MFANO ,
1 UKABILA
2 UCHOCHEZI
3 UDINI
4 USHABIKI WA KISIASA
NK
kwa sababu kwa kadili vyama vitakavyo kuwa na wanachama wengi ndivyo vitakavyo kuwa na kura chache maana awata piga kura , KUWE NA LESENI YA KISIASA ILI UWEZE KUWA MWANASIASA WA VYAMA AU BINAFSI, kama kutakuja kuwa na ruhusa ya wagombea binafsi .
 
Sio matamanio yangu... na kwa mila za kitz kumwongelea marehemu au kumtusi inaonesha we ni mtu wa aina gani. Mi nimemaliza.
Kwani Mila ni taboos au ni misahafu? Hizo ni Mila potofu Tunatakiwa kuzipiga marufuku.

Kwenye vitabu vya History huwa unawasoma akina Idd Amin,Mobitu,Hitler nk,vipi hapo Mila hazihusiki? 😂😂.

Lazima tuvifundishe vizazi kwamba aliwahi tokea zalimu fulani hatari sana
 
Back
Top Bottom