Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rubbish 🚮🚮🚮..Tzn imeanza Kukopa leo?

Toka enzi za Mwalimu alikopa na akapeleka Msumbiji,Angola,S.Africa,Zimbabwe nk kwa kisingizio cha ukombozi.

Kwani hukulipa? Anakopa kupeleka kwake au Tzn?

Kama vipi katoe hoja ya kuvunjwa Muungano.Hata hivyo Zanzibar imedhulimiwa Sana na Bara ngoja nao wapate haki yao stahiki.

Mwisho Zanzibar hata kesho wanatamani wajitenge ila Bara inalazimisha,na wakijitenga kwa jinsi walivyo wachache na connection Duniani na utalii ,haichukui miaka 5 wanakuwa wameendelea afu Bara tunabakia na fitina kama unavyofanya wewe hapa.

View attachment 2124107

View attachment 2124108

View attachment 2124109
Ahwapi, tukijitenga wageni wataloea na mwishowe wazanzibari kimbilio lao litakua Bara. Wee cheki Seychelles ipo East Africa lakini utadhani ipo australia huko, wazawa wanakimbia nchi yao. Cheki Madagascar na ukubwa wote ila wazawa hawana chao
 
Nshajua, kumbe wewe ni mla urojo 😀 huu mjadala hauwezi kuisha
Yani hilo Kenge likilala likiamka linamuwaza Magu, mtu hayupo duniani lkn mpk kesho anamtawala, usidhani kwamba anamkubali Samia, wala hamkubali sema anajifariji baada ya kupigwa na Magu kipigo kitakatifu

Cha ajabu ni kwamba miradi yote aliyokuwa anaipinga ya Magu anaisifia leo, ni kama anajiumiza tu mana Magu kama maji hakwepeki
 
Ahwapi, tukijitenga wageni wataloea na mwishowe wazanzibari kimbilio lao litakua Bara. Wee cheki Seychelles ipo East Africa lakini utadhani ipo australia huko, wazawa wanakimbia nchi yao. Cheki Madagascar na ukubwa wote ila wazawa hawana chao
Wanakimbia wanaenda wapi?
 
Mpaka leo bado tunatembea na miradi ya Magu
Miradi ya Magu 😀😀😀😀.Miaka 6 alikuwa anafanya nini cha maana? Chuki itakuua wewe kenge wa mwendakuzimu.

Kishindo ni hiki hapa,hii ni baadhi tuu naweza kujaza server.👇

Screenshot_20220209-083411.png


Screenshot_20220209-084828.png


Screenshot_20220214-210229.png


Screenshot_20220215-201543.png


Screenshot_20220217-164110.png


Screenshot_20220204-210915.png


Screenshot_20220203-154307.png
 
Back
Top Bottom