Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Yani icho kitu hakijakaa sawa kabisa na inafaa kibadlishwe haraka iwezekanavyoo ili kuulinda muungano wetuKuna vitu havijakaa sawa kwenye muungano hatuwezi kukaa kmy kwa kigezo cha kuchochea chuki, mm naomba kuuliza inakuaje rasilimali za zenji ziwe za kule tu lkn za bara ziwe za wote? Au labda tuwekane sawa tujue kwamba bila zenji basi hakuna Tz bara, huu muungano ni wa kipumbavu sn huu, ok usiku mwema wakuu.

time to sleep!