Inawezekana unawaza pono zaidi kuliko kufuatilia mambo ya serikali,la hasha unasumbuliwa na Chuki binafsi kwa Samia.
Yaani Samia aache kukamilisha miradi iliyomshinda Mwendazake kwa miaka 6 ,Utake aanzishe miradi mipya mikubwa ya ku stress uchumi kama zama za Giza?
Unaweza nipa sababu kwa nini Mwendazake alishindwa kwa miaka yote 6 aliyokaa madarakani?
Anyway,Ngoja ni summaries.
1.Kwa mara ya kwanza watoto wote wameanza shule kwa pamoja,hapo awali walikuwa wanaanza shule kwa mafungu kama nyanya ,tena watoto wa maskini.Samia kajenga madarasa 15,000 yenye dawati kabisa hakuna kuchangishana.
2.Samia anajenga vituo vya afya 207 kwa mpigo Nchi nzima,ikumbukwe mwendymiaka 6 havijafika hata 100,hapo bado x ray hospital zote na vituo vya afya vyote,CT Scan hospital zote za Mikoa,MRI machine hospital zote za Kanda na zile maalum,ma ambulances kama yote nk nk.
3.Sasahivi Tarura inakufungulia barabara kusikofikika,miradi ya barabara iko zaidi ya 2,000,,bajeti kutoka bil.270 hadi bil.900.
4.Maji ndio usiseme kila Kona ni miradi ila Kwa uchache ukiona kule Arusha na Mara,,miradi ya size ya Kati imetapakaa nchi nzima,saizi hatuhangaiki na Rais kuzindua vituo vya afya au stand za bil.2 ,tumewaachia mawaziri.
5.Uchumi unakua Kwa 5% kutoka negative .Ikumbukwe baada ya uchumi kuanguka ndio hapo zikatungwa sheria za Takwimu,kupora wafanyabiashara pesa,maduka ya forex nk na kufungua magazeti


.
Saizi mapato yameongezeka kila sekta,walioko serikali wanakiri hakuna ukata tena.TRA ,bandari,madini,utalii na Halmashauri kote pesa zimeongezeka
Kwa mujibu wa PM utekelezaji wa bajeti ni zaidi ya 55% ,haijawahi tokea hii hapo kabla.
6.Mabarabara,bandari mapya kibao na zingine zilizomshinda Mwendazake tunazijenga.
7. Mikataba mipya ya reli imezinduliwa na wewe unajua.
8.Miradi yote ya Mwendazake inakwenda kama kawa,umeisha wa Salander na mingine itaisha kadiri ilivyopangwa.
Kiufupi mambo ni mengi,Summary ya yote utapata mwezi march siku ya kuadhimisha mwaka mmjo tangu SSH ale kiapo kuwa Rais na pia wakati wa ku wind up budget ya 2021/2022..Narudia tena hakuna Rais atamfikia Samia..
Samia hoyeee
View attachment 2124272
View attachment 2124273
View attachment 2124275
View attachment 2124276
View attachment 2124277
View attachment 2124278
View attachment 2124279
View attachment 2124280
View attachment 2124281
View attachment 2124282
View attachment 2124283
View attachment 2124284
View attachment 2124285
View attachment 2124286
View attachment 2124287
View attachment 2124288
View attachment 2124289
View attachment 2124290
View attachment 2124291
View attachment 2124292
View attachment 2124293
View attachment 2124294
View attachment 2124295