Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwaiyo tuli kwama then tukaingiaa middle income country ?akuna mjinga humu anae kufikia hata kwa ukaribu
Middle income tuko toka 2015 ila tulitangazwa hiyo 2020 kwa sababu lazima kuwe na kipindi cha matazamio.

Angalia per Capita income ya 2015 na 2020 uone kama kuna significance change yoyote.

Hata figures za GDP hazijabadilika Sana kwa miaka 6 iliyopita which seems tulikuwa stagnant.

Hata miradi hakuna uliomalizika kwa miaka yote 6.

Kwa mwendo huu wa Samia hadi 2025 tutapiga hatua kubwa Sana kwenye Uchumi.Usijesema sijakwambia.As we speak hakuna figure hata moja inayoenda chini tangu Samia kaingia.

Hadi banks ndogo microfinances zilizokuwa zinakufa na kuwa merged ,this year wamerekodi profit👇

Screenshot_20220217-163800.png
 
yes hebu ingia humu uone!

Tuanze na JPM bridge $299 mln, Mwanza airport (PAX Terminal and radar), Nyamhongolo Bus stand, Nyegezi Bus stand, Mwanza market, Mwanza lorry parking, Mwanza shipyard, several roads, several water projects with Lake Victoria water pipeline leading, BOT headquarters, Mwanza referral hospitals expansion Sekou Toure and Bugando aside other hospitals and health centers, ferries, Cotton ginneries, Mwanza slaughter house etc. Nitajie mkoa mwingine nje ya Dar na Dodoma uliopata hivi vyote chini ya JPM!

NOTE:
BTW SGR Mwanza-Isaka sijaitaja nina uhakika at least $300 mln itabaki Mwanza! Msione watu wajinga aisee mkaanza kuleta siasa za kibaguzi! Let the others get the same treatment as there r no better n more deserving Tanzanians than others! Have patience just like the other had!
Bwawa la nyerere liko Dar sio?
 
Rubbish,hayo yalipandwa na zalimu Mwendazake.

SSH ameyatibu na Sasa anamalizana na chadema.

NYie wajinga wa sukuma gang hakuna mnachoweza kufanya kwa sasa,mtaishia kujifariji kwenye mitandao kama hivi.
Jidanganye...tu ...Unajua kwanini kikwete ndiye raisi asiye kubalika tz kuliko maraisi wote ? Sababu ni kuwa watz tumeamka ,ndiyo maana kikwete alipata upinzani alipo jaribu kumpendekeza raisi wa awamu ya tano aliye mtaka yeye ,hivyo ilo group lenu la WAHUNI NI DHAIFU JAPO LINA FEDHA NYINGI ZA UDHALIMU
 
Kweli kabisa uyo , dhalim akafanya mambo ya ajabu sana, SGR,kuamisha rasmi serikali kwenda Dodoma,kuongeza mapato , kupinga unyonyaji,kusaidia kupunguz gap between rich and poor, for a first time umeme haukua nightmare,kurudisha treni ya zaman iliya simama for years( dar-Arusha),build ships, bridges,kupanua bandari mbalimbali na kuanza kujenga mpya,elimu bure,control price fluctuation,bus termina in all rigions,town roads,sign ni law to protect our natural resources especially minerals,..alafu kuna kenge ziko apa kuponda
Kwani Mila ni taboos au ni misahafu? Hizo ni Mila potofu Tunatakiwa kuzipiga marufuku.

Kwenye vitabu vya History huwa unawasoma akina Idd Amin,Mobitu,Hitler nk,vipi hapo Mila hazihusiki? .

Lazima tuvifundishe vizazi kwamba aliwahi tokea zalimu fulani hatari sana
Nilijua mafii inakaa tumboni , kwa mara ya kwanza nimeyana kichwani
 
Kweli kabisa uyo , dhalim akafanya mambo ya ajabu sana, SGR,kuamisha rasmi serikali kwenda Dodoma,kuongeza mapato , kupinga unyonyaji,kusaidia kupunguz gap between rich and poor, for a first time umeme haukua nightmare,kurudisha treni ya zaman iliya simama for years( dar-Arusha),build ships, bridges,kupanua bandari mbalimbali na kuanza kujenga mpya,elimu bure,control price fluctuation,bus termina in all rigions,town roads,sign ni law to protect our natural resources especially minerals,..alafu kuna kenge ziko apa kuponda
Nilijua mafii inakaa tumboni , kwa mara ya kwanza nimeyana kichwani
Hakuna cha ajabu hapo,mingi ya hiyo miradi haijakamilika kwa miaka yote 6.

Alikuwa na nafasi si tuu ya kufanya zaidi bali kufanya kwa ufanisi,akaishia kuharibu Nchi nzuri aliyopokea kwa JK.

Saizi Samia kaanza upya kuponya majeraha.

Weka kwenye rekodi utaona by 2025 tutalinganisha vizuri Kati Samia na Mwendazake.

Screenshot_20220220-093411.png

Screenshot_20220220-093609.png

Screenshot_20220220-093602.png
 
Middle income tuko toka 2015 ila tulitangazwa hiyo 2020 kwa sababu lazima kuwe na kipindi cha matazamio.

Angalia per Capita income ya 2015 na 2020 uone kama kuna significance change yoyote.

Hata figures za GDP hazijabadilika Sana kwa miaka 6 iliyopita which seems tulikuwa stagnant.

Hata miradi hakuna uliomalizika kwa miaka yote 6.

Kwa mwendo huu wa Samia hadi 2025 tutapiga hatua kubwa Sana kwenye Uchumi.Usijesema sijakwambia.As we speak hakuna figure hata moja inayoenda chini tangu Samia kaingia.

Hadi banks ndogo microfinances zilizokuwa zinakufa na kuwa merged ,this year wamerekodi profit

View attachment 2124576
Nikisema ww ni mafiii namanisha, yani hata mda wa anangalizo hujui?ww ni takataka ya wapi ? Mda wa angalizo ni three yrs, na ayonmachungu pelekea bibi, alafu hata kufwatilia hujui tulivua 1000 mark 2017...pole JPM atakubutua atakama hayupo na huwezi mwondoa
 
Jibu hoja acha kuharisha,nipe Takwimu nilizosema uweke sio kutetea mumeo.Hasira za ujane usiniletee mimi.

Matokeo ya diplomasia ya Uchumi sio kama yule boya alikuwa anagombana na jirani 😄😄👇

Screenshot_20220220-094409.png
 
now AFDB going extra on our favor!
we will get it done means mambo tayari, tunasubir kurelease tu taarifa rasmi..
Tanzania tunaenda kuwa na inter-national SGR while kenyans wanabaki na intra-national sgr
View attachment 2124424
yao iliishia misituni huko naivasha 🤣🤣 mchina akaitelekeza pale porini na sasa ni big white elephant kama vile lapset😂😂
 
Back
Top Bottom