Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Una mtag huyu jamaa yako hapa 👇

2952362_Q0f.jpg
 
Jibu hoja acha kuharisha,nipe Takwimu nilizosema uweke sio kutetea mumeo.Hasira za ujane usiniletee mimi.

Matokeo ya diplomasia ya Uchumi sio kama yule boya alikuwa anagombana na jirani

View attachment 2124625
Weee mafiii head....ata mkimchukia mtu haifuti aliyo yafanya, shida uko na character za kike plus kudinywa ndio akili ikawa mafiii kabisaaa
Screenshot_20220220-101456.jpg
Screenshot_20220220-101532.jpg
 
Kweli kabisa uyo , dhalim akafanya mambo ya ajabu sana, SGR,kuamisha rasmi serikali kwenda Dodoma,kuongeza mapato , kupinga unyonyaji,kusaidia kupunguz gap between rich and poor, for a first time umeme haukua nightmare,kurudisha treni ya zaman iliya simama for years( dar-Arusha),build ships, bridges,kupanua bandari mbalimbali na kuanza kujenga mpya,elimu bure,control price fluctuation,bus termina in all rigions,town roads,sign ni law to protect our natural resources especially minerals,..alafu kuna kenge ziko apa kuponda
Nilijua mafii inakaa tumboni , kwa mara ya kwanza nimeyana kichwani
Ana chuki zake binafsi huyo.
 
Back
Top Bottom