Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's so sad kumpoteza magufuli,
Despite mapungufu yake Ni jamaa nilivutiwa na uongozi wake wa Africa first...
It's bad amefariki Bila kuonja major infrastructures alizoanzisha kama SGR, magufuli bridgeBusisi na Julius Nyerere dam etc
RIP SHUJAAA WETU.
 
Poleni sana Watanzania wote kwa msiba uliowapata. Poleni sana ndugu zetu. Nimehuzunika sana kusikia habari hii. Rais wenu alikuwa shujaa kweli. Lazima atakumbukwa na historia kama mmoja wa marais bora kabisa hapa Africa. Tanzania has a bright future kwa sababu yake. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
shukran sana chief
 
Hapa namsikilizia huyu atakayechukua madaraka kama nitakuwa simwelewi sitaona umuhimu wa kuwepo kwenye huu uzi Magu alinipa courage ya kuamini tupo in right direction, mambo ya kizalendo mengi yalikuwa yanafanyika ss km tutarudi kule kule mm unafki siuwezi kabisa.

Ngj tuone itakuwaje.
 
I thought it's Kenyans that copy whites ......

View attachment 1728740
Kiukwel mi naona mama akiiga na hilo halitakua jambo la busara kabisa, mfumo wa mwenzio katika uongozi ni ngumu ku copy paste ba ukafanikiwa..

Mama samia nenda na pess zako katika uongozi, yani apange safu zake zitakazo endana sambamba na karata zake vile atakavyozichanga wakati wa kuzichezesha..

"Mayoo udzakala mnono mdigo wa kaya"
 
Hapa namsikilizia huyu atakayechukua madaraka kama nitakuwa simwelewi sitaona umuhimu wa kuwepo kwenye huu uzi Magu alinipa courage ya kuamini tupo in right direction, mambo ya kizalendo mengi yalikuwa yanafanyika ss km tutarudi kule kule mm unafki siuwezi kabisa.

Ngj tuone itakuwaje.
Samia ndio rais mkuu
 
Tanzania itakuwa nchi ya kwanza Africa mashariki kuongozwa na mama. Hii ni hatua nzuri sana na inaonyesha wazi kwamba siasa yenu imefikia level nyingine nzuri sana. Yaani hamna taasubi za kiume kama nchi nyingine za kiafrika ambapo mama anaonekana ni kama sio binadamu kamili. Nchi zingine zinafikiri kwamba mwanamke hawezi kuongoza lakini wanawake ni viongozi wazuri sana. Angela Merkel wa Germany ameongoza kwa zaidi ya miaka 15 na ameongoza vizuri bila tatizo lolote. Indira Gandhi naye aliongoza India vizuri bila tatizo lolote. Nafurahi kuona kwamba Africa tunazidi kusonga mbele kwenye masuala ya usawa wa kijinsia.
issue si kuongozwa na mwanamke, the question is ataweza. tunaangalia cabability na sio gender
 
Hapa namsikilizia huyu atakayechukua madaraka kama nitakuwa simwelewi sitaona umuhimu wa kuwepo kwenye huu uzi Magu alinipa courage ya kuamini tupo in right direction, mambo ya kizalendo mengi yalikuwa yanafanyika ss km tutarudi kule kule mm unafki siuwezi kabisa.

Ngj tuone itakuwaje.
Mipango ya Magu ni mikubwa! Ujue ana lots 2 bado kwenda Mwanza then Ijiji-Msongati then Isaka-Kigali then Mtwara-Mbamba bay then LNG then ujenzi wa jiji la Dodoma! Akae mbali na "les Affaires" Kikwete maana soon tutaona Ridhiwani Waziri mara wakina Makamba wakina Nape! Wote wana ambitions za higher office na si watendaji bali wazee wa makundi!
 

VP Samia for Uganda next week to seal pact on crude oil pipeline​

ippmedia.com/en/news/vp-samia-uganda-next-week-seal-pact-crude-oil-pipeline

March 18, 2021
Home

18Mar 2021
The Guardian Reporter
Dar es Salaam
News
The Guardian
VP Samia for Uganda next week to seal pact on crude oil pipeline

VICE President Samia Suluhu Hassan is on Monday expected to leave the country for Uganda to sign another vital agreement for the official beginning of the construction of the crude oil pipeline from Hoima in Uganda to Tanga in Tanzania.

Samia-Suluhu-Hassan%20ED.jpg


Finalising her four-day official tour in Tanga Region, VP Samia said that on March 22, she is going to Uganda to seal the pact for the long-awaited crude oil pipeline project to kick off; noting that the venture would provide a big relief to Tanzanians particularly Tanga residents, who will benefit in different ways.

In September last year, President Magufuli and his Ugandan counterpart Yoweri Museveni signed an agreement that set the ball rolling for the construction of a 7.4trn/- crude oil pipeline running from Ugandan oilfields to Tanga.

The two presidents signed the agreement to intentionally implement the project which upon completion will see Tanzania earn 7.5trn/- and create more than 10,000 to 15 direct jobs over the next 25 years.

During the event, VP Samia delivered greetings from President John Magufuli to the people of Tanga.

In his message, VP Samia said president Magufuli wants the people of Tanga to work hard in their undertakings mostly the production of Sisal which is now marketable globally.

Through the Vice president, the Head of State also thanked the people of Tanga for the support and votes that they gave him during the General Election last year which gave him a victory of about 85-percent.

“The president asked me to tell you that you should work hard and focus more on what you are doing to ensure our country remains peaceful as usual,” he said.

Speaking further on the developments in Tanga VP Samia detailed that in the last five years the government constructed 22 heath centres, five dispensaries as well as the construction of an emergency ward and dialysis unit at Tanga referral hospital Bombo in which 77.4bn/- has been spent.

Another project was the construction of roads within Tanga Region which upon completion will ease transportation of goods especially crops.

During the tour, the Vice President launched various development projects including factories among others.


MY TAKE
She assurred us all is in control n all will be well!

CC: Tony254
this is great,for sure, should be FID
 
Mipango ya Magu ni mikubwa! Ujue ana lots 2 kwenda Mwanza then ujiji-Msongati then Isaka-Kigali then Mtwara-Mbamba bay then LNG then ujenzi wa jiji la Dodoma! Akae mbali na "les Affaires" Kikwete maana soon tutaona Ridhiwani Waziri mara wakina Makamba wakina Nape! Wote wana ambitions za higher office na si watendaji bali wazee wa makundi!
Thnx mkuu umenielewa, ila tumuombee awe wetu na co wao.
 
Back
Top Bottom