Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Butlicking is not in our DNA, we kicked the British out when they supported Ian Smith, what are you talking about?
Which British did you kick out? Lol, stop shifting goal posts, we are talking of SA.

Not just South Africans, all SADC members are brothers, that comrade spirit only comes from people who fought in a war together, you don't know that because you never had the guts to wedge war with any country.
But I don't see you gushing over the others like you do SA and I don't see them reciprocating the gesture.

These words must come from someone who has to wait in line to get a visa.
🙂
Thing remains, if I want to go to SA, I will go. If I want to do business with SA, I will go...................and I don't have to bootlick them. Continue bootlicking them when they don't even recognize you that much.
 
Which British did you kick out? Lol, stop shifting goal posts, we are talking of SA.

But I don't see you gushing over the others like you do SA and I don't see them reciprocating the gesture.

Thing remains, if I want to go to SA, I will go. If I want to do business with SA, I will go...................and I don't have to bootlick them. Continue bootlicking them when they don't even recognize you that much.
Tatizo lenu mlikua mnajipendekeza kwa wazungu wakati sisi tuliwakumbatia waafrika weusi, Sasa hivi tunatengeneza $1B kwa mwaka Kama faida, lazima tufurahi kwasaba Sasa hivi tunapata mavuno ya damu yetu iliyomwagika, punguzeni wivu kidogo
 
Hvi wadau ni mimi tuu Ndio naona au na nyie uko pia ,kila mKopo unaokopwa lazima upelekwe zenji so far tangu maza aingie madarkani almost trilioni moja ishapelekwa zenji sasa naulizaa wale walikua wanasema jpm ni mkabila alikua anapendelea Chato tuu sasa ili swala la maza wanalizungumziaje? ? Fedha zilizopelekwa zenji kwa mwaka mmoja ni nyingi kuliko zilizopelekwa Chato kwa kipindi cha miaka mitano🤔🤔🤔
 
tatizo nn? Hata kule wanahitaji pia! Hata kipindi cha mwendazake wao waliona kila fedha inaenda Mwanza na Geita pia!
 
Hvi wadau ni mimi tuu Ndio naona au na nyie uko pia ,kila mKopo unaokopwa lazima upelekwe zenji so far tangu maza aingie madarkani almost trilioni moja ishapelekwa zenji sasa naulizaa wale walikua wanasema jpm ni mkabila alikua anapendelea Chato tuu sasa ili swala la maza wanalizungumziaje? ? Fedha zilizopelekwa zenji kwa mwaka mmoja ni nyingi kuliko zilizopelekwa Chato kwa kipindi cha miaka mitano
Tuvumilie tu na katiba letu bovu lililoasisiwa kuongoza watu wasiojua kusoma wala kuandika.

Tupo ktk kipindi kibovu kabisa kuwahi kutokea na sidhani kama kitatokea tena labda miaka 1000 ijayo, incompetence at its best.
 
Quick Reminder: Business and Logistics Hub in EAC
27543125307_b63d138431_b.jpg
IMG_20180906_213527.jpg
IMG_20180906_213500.jpg
residence-slide-1.jpg
BD_NYUMBA_0802G_JPG.jpg
R12.jpg
FOURWAYS-1-1024x576.jpg
6909548537_66edecebdd_b.jpg
High-groove-750x386.jpg
maxresdefault.jpg
 
Kama isingelikuwa hii miradi na njia alizotengeneza Jemedari tungekuwa hoi kabisa shimoni.

Hakuna dira tunarandaranda tu mara huku mara kule pasipo kufuata ratiba, yn unalala leo kesho ukipigiwa simu huyo umeenda, huna ratiba hueleweki yn una act km kibarua asiyejua kesho itakuwaje, mamikopo mikopo yasiyo tija, mwishowe tutakuwa kama Kenya na hawa wasenge wanaotetea humu wote hutawaona wewe subiri uone.
 
Tuvumilie tu na katiba letu bovu lililoasisiwa kuongoza watu wasiojua kusoma wala kuandika.

Tupo ktk kipindi kibovu kabisa kuwahi kutokea na sidhani kama kitatokea tena labda miaka 1000 ijayo, incompetence at its best.
Kipindi kigumuu maana nashangaa kila mKopo unaokuja lazima zenji ipate ila watu wapo kimya tuu wale walikua wanahoji kuhusu jpm kupeleka miradi kadhaa Chato
 
Mm sina tatizo, tatizo ni nyinyi mbona saivi hamkosoi ilo jambo
Mkuu jibanze kwenye ukuta ulio gizani na ukae kimya binafsi hili jukwaa kwangu limepunguza mvuto maana mama amekuwa mama hii misaada na mikopo ikitushinda kulipa utasikia bandari ya dar umechukuliwa na zanzibar haitoguswa na kwa nchi zetu hizi ambazo hazina mfumo imara wa sheria sijui kama zanzibar inalipa kama inavyopokea
 
Back
Top Bottom