Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani Katiba inasemaje juu ya mapato na misaada ambayo iko chini ya Muungano? Kwa mawazo yako Zanzibar na Chato zina hadhi sawa?
Ni mambo ya Muungano na yatalipwa na wote ila hakuna sehemu waliposema Tzn au Zanz inatoa kiasi fulani bali ni Kodi za ujumuishi.
 
Kenge la Njombe hilo kinachomfanya aipigie debe zenji ni chuki zake kwa Magu
We tumbili unaongea uharo gani hapa.

Yule zalimu alituharibia Sana Nchi,Soma kishindo cha mama hapa 👇

Screenshot_20220218-185317.png
 
Miradi ya Magu .Miaka 6 alikuwa anafanya nini cha maana? Chuki itakuua wewe kenge wa mwendakuzimu.

Kishindo ni hiki hapa,hii ni baadhi tuu naweza kujaza server.

View attachment 2124174

View attachment 2124175

View attachment 2124176

View attachment 2124177

View attachment 2124178

View attachment 2124179

View attachment 2124180
Miaka 6 alifanya nn? Aliyeanzisha huu uzi Emc2 alingoja Magufuli aingie ndio aanzishe huu uzi mwaka 2017 kipindi icho we kenge unavuna mbao za watu

Unasema alifanya nn alafu hapo hapo hakuna mradi hata mmoja ambao utapost usiomuhusu Magufuli
 
We tumbili unaongea uharo gani hapa.

Yule zalimu alituharibia Sana Nchi,Soma kishindo cha mama hapa

View attachment 2124182
Wewe ni mnafki mbwa wewe, wala humkubali Samia sema una chuki binafsi na Magufuli ndiyo mana unajifanya kumkubali sa100 licha ya mapungufu makubwa aliyonayo, Magu ni km maji huwezi kumkwepa na atakuumiza sn km hutaki kukubali ukweli jibwa wewe
 
Hvi wadau ni mimi tuu Ndio naona au na nyie uko pia ,kila mKopo unaokopwa lazima upelekwe zenji so far tangu maza aingie madarkani almost trilioni moja ishapelekwa zenji sasa naulizaa wale walikua wanasema jpm ni mkabila alikua anapendelea Chato tuu sasa ili swala la maza wanalizungumziaje? ? Fedha zilizopelekwa zenji kwa mwaka mmoja ni nyingi kuliko zilizopelekwa Chato kwa kipindi cha miaka mitano
Huyo mjambiani mpumbafuuu , mwenye nyota ya mafiii sitaki hata kumsikia.
 
Izo hadhi mmeanza kuziona awamu hii au sio kwani wanachato hawana hadhi yakupata miradi ya maendeleo ebu acha huo ujinga mzee tukienda kwa staili iyo hatutafika
Tatizo halipo kwenye kupeleka maendeleo mahali. Tatizo lipo kwenye viability ya maendeleo unayoyapeleka. Huduma muhimu kama barabara, maji, afya na umeme zinapaswa kupelekwa kwenye kila Kona ya nchi Maana ni essential. Lakini huwezi kusema kuwa kujenga hospitali kubwa ya kanda kwenye mji usio na watu hata laki moja ni jambo la busara. Au kujenga international airport kwenye mji ambao clearly haustahili kuwa nayo. Ni heri hizo resources/funds ziwe allocated kwenye sehemu nyingine za nchi! Ama maendeleo yawe viable kutokana na maeneo yanayohudumiwa.


Maendeleo ya zanzibar yanawaumiza nini? Ama ni kwasababu Rais ana asili ya Zanzibar? Kwani Zanzibar ikiendelea, Tanzania inarudi nyuma au inaenda mbele? As long as pesa zinatumika accordingly kutekeleza maendeleo ambayo ni viable, mimi sioni tatizo lolote.
 
Barabara ya NSSF
Mtz lazima alipe kodi hapo km sio ujinga ni nini...
Huvuki hapo bila ya kulipia ksh150View attachment 2123882
We kima acha kuchanganyq madesa hizo ni barabara mbili tofauti madaraja ,pia nssf ni mali ya serikali ni mali ya watz ,hiyo video inaonyesha barabara na daraja la tanzanite ,,,,cheki dar inavyo ng'aa arafu mbuzi za kibera zina sema ghana ina gdp kubwa kushinda tz wakati uki google accra unaweza kuzani google imekosea kwa utakayo yaona
 
NAMPENDA SANA NA KUMHESHIMU RAIS SULUHU...MAWAZO YAKE YAMEKOMAA SANA NA STYLE YAKE YAUONGOZI NI FIRST CLASS YAANI KAMA WAKENYA VILE....ABARIKIWE SANA HUYU MAMA...
Majizi mnafurahia uzuzu wamama kwa sababu mmepata mda wakuiba tena ila your days a number
 
Wewe ni mnafki mbwa wewe, wala humkubali Samia sema una chuki binafsi na Magufuli ndiyo mana unajifanya kumkubali sa100 licha ya mapungufu makubwa aliyonayo, Magu ni km maji huwezi kumkwepa na atakuumiza sn km hutaki kukubali ukweli jibwa wewe
Mnafiki ni wewe na Baba yako,malaika ni nani ambae hana mapungufu Ili tumkubali?

Kwani mimi napenda sura au chama cha mtu? Sijawahi kuwa mwanachama wa Chama chochote,nimeweka wazi maslahi yangu humu toka kitambo.

Mimi namkubali mtu mwenye sera za Uchumi wa soko,mliberal na mwenye utu na kuheshimu wengine na sio vinginevyo.

Sijawahi na sotowahi mkubali Mwendazake hadi nakufa,nimemfahamu Mwendazake toka enzi za MKapa na nilionya watu mapema Sana hata kabla hajawa Rais kwamba ni mjivini,katili,mwenye kiburi na kujifanya mjuaji wa kila kitu,muongo na zaidi ni mkurupukaji asiyepima matokeo ya kauli na matendo yake..

Mtu wa kuongozwa na mihemko na visasi hafai kuwa kiongozi,sampuli za kina Lisu,Mwigulu na Muhongo,Jobo nk..

Worse enough alikuwa na itikadi za ki utopian kwenye uchumi,mambo yaliyomshinda Nyerere kutokana na sera za kipuuzi ndio analeta kwenye modern world.Ndio maana aliishia kupiga propaganda Ili a survive,style za madikteta..

Kizuri kwake ,he was bold,jasiri asiyejua njia sahihi ya kufikisha matarajio yake akaishia kutumia tisasi 😄😄😄.

Watu wa dizaini hii hufa kwa pressure ndio maana alikuwa na huo ugonjwa angali mdogo mda wote kisilani.

Mtu kama Obama,Kenyatta,Kikwete and the likes hawawezi kuwa na maisha mafupi kutokana na kujua kubalance hisia za miili yao.

Hayo sasa ndio mapungufu makubwa,nitajie wewe mapungufu makubwa ya Samia unayoyajua.
 
Mnafiki ni wewe na Baba yako,malaika ni nani ambae hana mapungufu Ili tumkubali?

Kwani mimi napenda sura au chama cha mtu? Sijawahi kuwa mwanachama wa Chama chochote,nimeweka wazi maslahi yangu humu toka kitambo.

Mimi namkubali mtu mwenye sera za Uchumi wa soko,mliberal na mwenye utu na kuheshimu wengine na sio vinginevyo.

Sijawahi na sotowahi mkubali Mwendazake hadi nakufa,nimemfahamu Mwendazake toka enzi za MKapa na nilionya watu mapema Sana hata kabla hajawa Rais kwamba ni mjivini,katili,mwenye kiburi na kujifanya mjuaji wa kila kitu,muongo na zaidi ni mkurupukaji asiyepima matokeo ya kauli na matendo yake..

Mtu wa kuongozwa na mihemko na visasi hafai kuwa kiongozi,sampuli za kina Lisu,Mwigulu na Muhongo,Jobo nk..

Worse enough alikuwa na itikadi za ki utopian kwenye uchumi,mambo yaliyomshinda Nyerere kutokana na sera za kipuuzi ndio analeta kwenye modern world.Ndio maana aliishia kupiga propaganda Ili a survive,style za madikteta..

Kizuri kwake ,he was bold,jasiri asiyejua njia sahihi ya kufikisha matarajio yake akaishia kutumia tisasi .

Watu wa dizaini hii hufa kwa pressure ndio maana alikuwa na huo ugonjwa angali mdogo mda wote kisilani.

Mtu kama Obama,Kenyatta,Kikwete and the likes hawawezi kuwa na maisha mafupi kutokana na kujua kubalance hisia za miili yao.

Hayo sasa ndio mapungufu makubwa,nitajie wewe mapungufu makubwa ya Samia unayoyajua.
Bado tunatamba na miradi ya Magu, nitajie mradi aliofanya Samia, kuhusu kufa mapema hata Yesu, Muhammad, na babaako wote walikufa mapema, vipi unaweza kuniambia nao ni sababu ya pressure
 
Mkuu kama uko honesti hapa JF ndio sehemu tunayotakiwa kupiga kelele muungano uvunjike, zenji ni parasite anaetunyonya damu kwelikweli
Mimi sitaki kusikia upumbavu wa muungano wazanzibar wapewe nchi yao ili wakichinjana tusiusike wala kulaumiwa ,kinacho fanya zanzibar ipate sifa na utalii kukuwa ni bara ,sasa awa wapuuzi wazenji wanatuona wapumbavu .siku si nyingi watajua kuwa awajui
 
Rubbish ..Tzn imeanza Kukopa leo?

Toka enzi za Mwalimu alikopa na akapeleka Msumbiji,Angola,S.Africa,Zimbabwe nk kwa kisingizio cha ukombozi.

Kwani hukulipa? Anakopa kupeleka kwake au Tzn?

Kama vipi katoe hoja ya kuvunjwa Muungano.Hata hivyo Zanzibar imedhulimiwa Sana na Bara ngoja nao wapate haki yao stahiki.

Mwisho Zanzibar hata kesho wanatamani wajitenge ila Bara inalazimisha,na wakijitenga kwa jinsi walivyo wachache na connection Duniani na utalii ,haichukui miaka 5 wanakuwa wameendelea afu Bara tunabakia na fitina kama unavyofanya wewe hapa.

View attachment 2124107

View attachment 2124108

View attachment 2124109
Mjambiani anakopa til1.3 kwa mwezi very stupiiid
 
Taja ni mradi gani aliofanya Samia mpk ss licha ya kuchukua mamilioni ya $? Kenge wewe mbwa
Inawezekana unawaza pono zaidi kuliko kufuatilia mambo ya serikali,la hasha unasumbuliwa na Chuki binafsi kwa Samia.

Yaani Samia aache kukamilisha miradi iliyomshinda Mwendazake kwa miaka 6 ,Utake aanzishe miradi mipya mikubwa ya ku stress uchumi kama zama za Giza?

Unaweza nipa sababu kwa nini Mwendazake alishindwa kwa miaka yote 6 aliyokaa madarakani?

Anyway,Ngoja ni summaries.
1.Kwa mara ya kwanza watoto wote wameanza shule kwa pamoja,hapo awali walikuwa wanaanza shule kwa mafungu kama nyanya ,tena watoto wa maskini.Samia kajenga madarasa 15,000 yenye dawati kabisa hakuna kuchangishana.

2.Samia anajenga vituo vya afya 207 kwa mpigo Nchi nzima,ikumbukwe mwendymiaka 6 havijafika hata 100,hapo bado x ray hospital zote na vituo vya afya vyote,CT Scan hospital zote za Mikoa,MRI machine hospital zote za Kanda na zile maalum,ma ambulances kama yote nk nk.

3.Sasahivi Tarura inakufungulia barabara kusikofikika,miradi ya barabara iko zaidi ya 2,000,,bajeti kutoka bil.270 hadi bil.900.

4.Maji ndio usiseme kila Kona ni miradi ila Kwa uchache ukiona kule Arusha na Mara,,miradi ya size ya Kati imetapakaa nchi nzima,saizi hatuhangaiki na Rais kuzindua vituo vya afya au stand za bil.2 ,tumewaachia mawaziri.

5.Uchumi unakua Kwa 5% kutoka negative .Ikumbukwe baada ya uchumi kuanguka ndio hapo zikatungwa sheria za Takwimu,kupora wafanyabiashara pesa,maduka ya forex nk na kufungua magazeti 😀😀.

Saizi mapato yameongezeka kila sekta,walioko serikali wanakiri hakuna ukata tena.TRA ,bandari,madini,utalii na Halmashauri kote pesa zimeongezeka
Kwa mujibu wa PM utekelezaji wa bajeti ni zaidi ya 55% ,haijawahi tokea hii hapo kabla.

6.Mabarabara,bandari mapya kibao na zingine zilizomshinda Mwendazake tunazijenga.

7. Mikataba mipya ya reli imezinduliwa na wewe unajua.

8.Miradi yote ya Mwendazake inakwenda kama kawa,umeisha wa Salander na mingine itaisha kadiri ilivyopangwa.

Kiufupi mambo ni mengi,Summary ya yote utapata mwezi march siku ya kuadhimisha mwaka mmjo tangu SSH ale kiapo kuwa Rais na pia wakati wa ku wind up budget ya 2021/2022..Narudia tena hakuna Rais atamfikia Samia..

Samia hoyeee👇

Screenshot_20220219-202621.png


Screenshot_20220219-202244.png


Screenshot_20220218-164347.png


Screenshot_20220217-164110.png


Screenshot_20220216-221830.png


Screenshot_20220215-223316.png


Screenshot_20220215-113512.png


Screenshot_20220213-201556.png


Screenshot_20220211-211916.png


Screenshot_20220211-081822.png


Screenshot_20220210-225821.png


Screenshot_20220210-223456.png


Screenshot_20220209-083411.png


Screenshot_20220208-125829.png


Screenshot_20220207-161158.png


Screenshot_20220206-203437.png


Screenshot_20220206-182131.png


Screenshot_20220203-154307.png


Screenshot_20220203-155715.png


Screenshot_20220130-180754.png


Screenshot_20220129-231540.png


Screenshot_20220129-231604.png


Screenshot_20220129-231423.png
 
Hapana,

Katiba inasema ni 25/75 kama sijakosea. Na hizi kelele za Bara na Visiwani hazina afya kabisa. Hao ndugu zetu they have nothing to loose hivyo twendeni nao taratibu tuu. We need them.
Bado wanasema eti hiyo 25/75 ni kubwa..Hiki ni kichekesho Zanzibar sio Chato kwamba ipewe Mgao sawa na Mkoa hata kama ina eneo dogo au watu wachache.

Ikumbuwek kule kuna serikali inaendesha kila kitu kama Bara
 
Back
Top Bottom