Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huna point ndo maana unabwabwaja baada ya kupigwa na kitu kizito.
Karne ya 21 bado mnategemea chakula cha msaada.

Ukiona unapewa chakula cha msaada karne hii inabidi ujitafakari sana.
if you argue with a fool you must act like a fool ndio akili ziendane.you cannot put sense into a side minded Monopoly fool
 
Bongolala bana 😂😂😂...mnawafukuza alafu mnarudi tena huko huko kuomba msaada kwasababu ya ufukara?

View attachment 2123838
Sio kuomba,wanaikubali Tzn na wanapenda iwe mshirika wao hapa EAC..

Hapa ni wivu unakusumbua kwa sababu nyie mnapata misaada ya chakula.

Kwa taarifa yako hata Marekani iko mbioni kuirudisha Tzn kwenye MCC baada ya Wazungu sio tuu kutoa msaada bali wameachia pesa walizokuwa wame zi freeze kutokana na mambo ya kisiasa awamu ya 5👇

Screenshot_20220219-155350.png

Screenshot_20220219-155416.png

Screenshot_20220219-155439.png
 
NAMPENDA SANA NA KUMHESHIMU RAIS SULUHU...MAWAZO YAKE YAMEKOMAA SANA NA STYLE YAKE YAUONGOZI NI FIRST CLASS YAANI KAMA WAKENYA VILE....ABARIKIWE SANA HUYU MAMA...
Hana ushamba amekubali kuchangamana,hakuna faida ya kujitutumua wakati wewe ni maskini.

Ulaya na Japan na Korea walisaidiwa na US sembuse Tzn..

Mama akaonane na Biden Ili wayamalize turudishe kwenye MCC,kule kuna pesa za bure zaidi ya dola mil.700 Tulikuwa tunapata kwa mwaka kabla ya Mwendazake kuvuruga diplomasia.
 
Kwanza hawa wazenji kumamae zao wabaguzi kinoma utakuta nyumba za wabara wanapanga bila masharti yoyote, lkn wakipata kujenga nyumba zao wanataka waishi peke yao, hawa wasenge cku yao ipo jikoni inachemka.

Hakuna kuvunja muungano ni kisiwa chetu kile na ni mali yetu halali kabisa ila atatokea Rais ataondoa Rais na baraza la mawaziri kule mana upumbavu unaanzia hapo.
Aliyelazimisha Muungano ni nani? Ile ilikuwa Nchi toka Ukoloni ,ngoja wawanyooshe kwanza.
 
Nakubali chato ilitunyonya haswa sisi uchagani ndio tulisahaulika kabisa ila ni kwa muda na sio kama sasa zenji wanakula parefu sana but zenji ni kirusi kinatutafuna tangu 1964. Mimi silalamikii mtu kuvutia upande aliotokea sema isiwe sanaaa. Maana akijifanya mgumu kule ni kwao na ndio watakaosaidia vizazi vyake, kuwafervor ni muhimu ila zenji haihitaji fervor maana miaka nenda rudi wanakuafervored
Wanakula parefu au wanakula haki yao? Ile ni Nchi na infact ilitakiwa 50/50 sema ndio hivyo Nyerere alitumia janja janja..
 
Nakubali chato ilitunyonya haswa sisi uchagani ndio tulisahaulika kabisa ila ni kwa muda na sio kama sasa zenji wanakula parefu sana but zenji ni kirusi kinatutafuna tangu 1964. Mimi silalamikii mtu kuvutia upande aliotokea sema isiwe sanaaa. Maana akijifanya mgumu kule ni kwao na ndio watakaosaidia vizazi vyake, kuwafervor ni muhimu ila zenji haihitaji fervor maana miaka nenda rudi wanakuafervored
hebu ainisha kwanza hizo pesa zilizopelekwa Pemba ni za nini? haafu isitoshe hizi sehemu tatu zote zinakabiliwa na kumezwa na kupanda kimo cha maji!

Another area is to strengthen the social well-being of Tanzanians based on gender equality where 284bn/- would be spent. The statement further indicated that 197.3bn/- would go for Green Cities project, whose first phase would include Tanga, Mwanza and Pemba.
 
hebu ainisha kwanza hizo pesa zilizopelekwa Pemba ni za nini? haafu isitoshe hizi sehemu tatu zote zinakabiliwa na kumezwa na kupanda kimo cha maji!

Wenye chuki na Samia wanahangaika na visingizio vya kijinga ila mama hayumbishwi.👇

Screenshot_20220218-185317.png
 
Back
Top Bottom