Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi vichwa vimenunuliwa September 2021 from Austria ila kabla ya hapo walishasema wameorder electric locomotives from Germany maybe hizo za Germany ni nyingine hivi ni vya trial lets wait and see.
Hata majadiliano ya juzi na kadogosa anaongelea train yoka German sio Australia
 
haya kumekucha.. vitu vibaya lawama zote kwa Magu vitu vizur sifa kwa Mama

unakumbuka hii? ipo kwenye thread yako Cost & Comparison.. niliamua kukaa kimya mana nilijua “ukimya na muda” sikuzote zitaleta majibu
View attachment 2115349
Mbona kadogosa anaongelea trains toka German sio Australia, na anasibitisha kutuma wakaguzi German?
 
Nadhani unaelewa maana ya neno native. Siitaji kukueleza hilo na nadhani unaelewa nani natives wa Tanzania. Anyway, native or not, 100k people shouldn't be holding 60% of your economy.
Unapozungumzia native hata wewe inawezakua sio native. Mfano kwa TZ native ni Hardzabe, wasandawe na makonde. Hawa wengine kama wachagga, wamasai, wairaq, mbulu n.k wametokea Horn of Africa. Sukuma, Nyakyusa, Hehe, n.k West Africa. Ngoni South Africa. Acha ubaguzi dogo
 
Bandari ya Karema imeishinda maarifa Lamu white elephant kwenye idara zote

Lamu white elephant imejengwa at the middle of nowhere, haina barabara wala railway inayoiunganisha na kokote 🤣

Meanwhile Karema port ni bandari na barabara vinaenda simultaneously, DRC imeingia EAC nawashangaa Wakunya wanachoshangilia ni nini wakati mwali ni wetu huyu! 😅😅


Mzee umesahau kuna mradi wa MGR na SGR kwenda Karema port pia! Ila CRDB wanani-bore kusema kweli mbona wanauweka usiku kuingia DRC? Ile faida waliyopata si waongee na wenye hisa wafungue branches eastern DRC na Kinshasa!?
 
Hiyo ni mambo ya media babaa ..kenya is a very mature country ..huku usitu judge kwa yale unayaskia kwenye tv etc...we love each other na tuna umoja sana..we work together and we love one another....What we have in kenya is freedom of the media ..freedom of speech ...freedom of expression....Huku kenya hatusumbuliwi au kunyanyaswa na serikali kama tanzania...eti mtu anshikwa kwa sababu ya ku post sijui eti nani mgonjwa kalazwa kenya blabla.
Tanzania mnaumia sana kutuliko sisi ni vile tu kwenu ukifungua mdomo...utajua kilicho mtoa tundulissu manyoyaaaaaaaaaaaa

Do you know your position in the democracy index!!?
 


Ila hvi vichwa vinaweza kuwa vya majarbio au atakama havitakua vya majarbio vitakua kama vya backup kwasababu ukimaikilza vizuri hapa mkuregenzi mkuu wa trc anasema treni zitakazotumika za abiria zitakua na uwezo wa kuhifadhi umeme na vinauwezo wa kutembea kwa takribani dakika arubaini hvi iwapo umeme hautakuwepo, na ikitokea umeme usiwepo kabisa kwa zaidi ya izo dakika kutakua na backup ya vichwa vya disel
Inawezekana, haya makubaliano yalivunjwa au , waliona bomu lausonlinakuja wamevificha kwanza wagize uko german then badae kukiw attation imepungua ndio wavilete
 
UNAONGEA UTUMBO

nothing kamanda hakuna chamaana mnachofanya zaidi ya ushamba na matumizi mabaya ya pesa,
kwani bila hayo maduara duara ya siyo na maana hamuwezi kujenga road na car zikapita kuelekea otherside of town au ni ushamba tu na matumizi mabovu ya pesa,ingekuwa ni hivyo basi katika kila nchi kwenye hii dunia ingejenga hiyo miduara isiyo na faida ili cars ziende town na otherside,

huna akili kichwa chako box
hii ni nini sasa huko vichakani
View attachment 2115785

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
are you a civil engineer.!?. kwanza wee uli itimu ata kudato cha nne?
 
Kuna watu wanataka sana iwe hovyo ili Magu alaumiwe!

hivyo ni vya trial, sisi tuna mkataba na Hyundai Rotem.

hivyo vya Hyundai Rotem tuliambiwa vitakuja nadhan 2024.. sasa reli inakamilika mwaka huu.. so vitakaa visubirie hivyo vya 2024.. pia, ishu yangu nyingine ni ule mkataba wa kwanza umesainiwa na nan, lin, na wap? kwann wanaficha!
 
Kwa udadavuzi wangu..na research yangu naona itakuwa hivi...

so Summary ya 42 trains from our Gov Sources

27 From Korea ..10Emu 17 electric locos 296mil
15 from europe 11 Euro stadler (60 mil usd ) ..Germany
4 hvyo ZSS whatever for trials cost 600k euros sawa na 1.4bil tsh Austria

Read below Geza Ulole babayao255 Fundi kitasa


Tanzania jumla imeagiza vichwa 42 vya treni za umeme...na mabehewa 1430...accroding to kadogosa

Tumeagiza kutoka Germany and South Korea..tukumbuke Germany na Austria ni kitu kimoja ..or lets say tofauti.. but soma

So mkataba ambao uko wazi ni Wa soutth korea ambao tunajua ni Vichwa 17 vya treni ya umeme na EMU 10..each 8 rails cars making a total of 80 rail cars ...so ukichukua EMU kama Kichwa which is not obvious

Huu mkatba uko wazi

190 mil usd for 10 EMUS each emu cost 19mil usd

106mil usd for 17 Electric locomotives ..means each almost 6mil usd..

tumeagiza Vichwa 27 kutoka South korea..meaning

42-27=15

So kuna Vichwa 15 to be expected from Germany /Austria ....nakumbuka kuna ki info kilsika hapo nyuma ..tena alisema Msemaji wa GOV before huyu gerson..sijui abbas..kama tumeorder vichwa worth 60 mil usd ...

Plus kuna habari ya Vichwa viwili from Europe ambavyo watu walihisi ni kati ya Bombardier au Euro Stadler ..

Na pia tuna habari ya Tz ku order 6 Euro stadler Dual tho its not known ni mkataba wa kimya kimya ..kumbuka habari za treni zetu kutumia Disel na Umeme hii inamaanisha kweli tumenunua Euro Stadler

Kichwa kipya kinatumia Miaka hata 3 to 4 kujenga ..so..

what i expect for 60 mil usd tutapata around vichwa 11...why ?? nmeweka hapo chin Kichwa kimoja cha Euro stadler ni 5.5mil usd

But so far tunaskia tumeorder 6 euro stadler that means we have spent 33 mil usd ..for them

So Vinabaki vichwa 9 from 15 ile tumetoa na (42-27ya korea)

Na hela from 60 mil inabaki 27 mil

but 1 euro stadler cost 5.5mil.means( 11 -6euro stadler zinazojulikana) inabaki 5 na hyo inaamnisha tunaweka kuwa tuliweka order ya euro stadler 11 ..na sio 6 tu ..

So I expect 11 euro stadler which cost around 60 mil usd...na hizi zilikuwa ordered 2020 wakati wa magu...na ni vichwa vizur na vina speed ya 160km kama reli yetu itakavyo ..

So kwenye ile 15 iliyopatikana kutoka 42 toa 27..inabaki 15 toa 11 (euro stadler )

Inabaki 4 ..hvyo vichwa vinne nimeona mtu anasema cost ni 150k euros sitashaangaa tukiwa tumeorder vije kuwa trial..kwa dola 600k sawa na 1.3bil tsh ..

so Summary ya 42 trains from our Gov Sources

27 From Korea ..10Emu 17 electric locos 296mil
15 from europe 11 Euro stadler (60 mil usd )
4 hvyo ZSS whatever for trials cost 600k euros sawa na 1.4bil tsh


View attachment 2115508View attachment 2115510View attachment 2115534View attachment 2115535View attachment 2115537
Mpka juzi Kadogosa bado anashikilia swala la train kuwa na bettery(kutunza umeme ) kwaiyo sidhani km litakuw ni hili
 
Back
Top Bottom