jiwe jeusi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 863
- 850
Watu wa Human rightsTukiwatwanga hawa wakunya kuna wajinga wanajitokeza kuwatetea.![]()



Watu wa Human rightsTukiwatwanga hawa wakunya kuna wajinga wanajitokeza kuwatetea.![]()



labda wajenge floating bridge! Na ni lazma DRC wahusike maana ni transboundary lake! So far ni muhimu kuwa realistic na kuweka nguvu kujenga locomotive ferries kama nane hivi (rough estimates at a budget of around $300 mln) maana daraja across the lake sidhani kama litakuwa chini ya $5 bln maana Lake Tanganyika depth ni around 1.5 km!The second deepest...
Ya dodoma tayari mnatembelea nyota ya wakenyaIle cku Kenya itapata 3level interchange kama ya Ubungo au kama hii ya Dodoma ndiyo cku naachana na hii battle
Hili dude bhn hata Kama linavuta double decker lkn silo tulilokubaliana.
Basi kuna mwenzako kapinga, badala aulize uwezo wake yeye anaangalia sura...watz wapuuzi sanaila hili dude pia linavuta double decker kama lile alilodescribe mkurugenzi hivi karibuni au?
View attachment 2115659
Uwezo wake vipiIle cku Kenya itapata 3level interchange kama ya Ubungo au kama hii ya Dodoma ndiyo cku naachana na hii battle
Hili dude bhn hata Kama linavuta double decker lkn silo tulilokubaliana.
Hivi hatuwezi kupiga daraja toka Karema mpaka Kalemie DRC tuiunganishe kabisa DRC na reli na Barabara?![]()
Danganyikans with their low IQsHivi hatuwezi kupiga daraja toka Karema mpaka Kalemie DRC tuiunganishe kabisa DRC na reli na Barabara?![]()
DaahMm bado nashindwa kuelewa, nauliza tena wakuu zile train tulizokuwa tunaambiwa na kina kadogosa kwamba ni double decker cjui units cjui nininini... ndo haziji bali inakuja mitungi au? Mana nataka nijue ili tusichekane na hawa wakunya kwamba tujue wao wana mitungi ya chang'aa na cc tuna mitungi ya komoni basiiii.



Jeshi sio kama wanafki wakisiasa...
UNAONGEA UTUMBOsorry my friend... if you see an interchange in a vegetated area, it means a bypass!, you need not drive thru the city centre to get to the otherside of town if you don't have any business inside the town!.. everything has a purpose here..





UNAONGEA UTUMBO
nothing kamanda hakuna chamaana mnachofanya zaidi ya ushamba na matumizi mabaya ya pesa,
kwani bila hayo maduara duara ya siyo na maana hamuwezi kujenga road na car zikapita kuelekea otherside of town au ni ushamba tu na matumizi mabovu ya pesa,ingekuwa ni hivyo basi katika kila nchi kwenye hii dunia ingejenga hiyo miduara isiyo na faida ili cars ziende town na otherside,
huna akili kichwa chako box
hii ni nini sasa huko vichakani
View attachment 2115785
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
naenda kuwatag soon,wanatuzingua hawaVichwa vya trial run between Dar and Moro lakini vimenishtua kidogo upigaji mkubwa utakuwa umefanyika hapa ndio maana TRC walikuwa wanakwepa sana kuweka wazi hili.View attachment 2115344View attachment 2115345View attachment 2115346View attachment 2115347View attachment 2115348
Kwani hizi ni zakijeruman....?bila shaka ndo hiv vichwa viwili ambayo mkataba wake haujawekwa ulisainiwa lini, wap n akina nantusubir April..
zikiwa tofauti njoeni mnipige mawe.. napatikana masaki sandvik st au regent st mikochen
View attachment 2115336
View attachment 2115337
View attachment 2115338
bila shaka ndo hiv vichwa viwili ambayo mkataba wake haujawekwa ulisainiwa lini, wap n akina nantusubir April..
zikiwa tofauti njoeni mnipige mawe.. napatikana masaki sandvik st au regent st mikochen
View attachment 2115336
View attachment 2115337
View attachment 2115338




