Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Duuh huu upigajii aisee alafu usikute hapo watu wamesaini mikataba ya Milioni 5 usd ku nunua hvi vidude🤔Hii kampuni ya ZTT imefilisika na hivi vichwa zilikuwa vinauzwa 15,000€!
Duuh huu upigajii aisee alafu usikute hapo watu wamesaini mikataba ya Milioni 5 usd ku nunua hvi vidude🤔Hii kampuni ya ZTT imefilisika na hivi vichwa zilikuwa vinauzwa 15,000€!
Mkuu nakushangaa umeng'ang'ania ni vichwa vya trial runs, ngoje nikupe uelewa kidogo.Hata kama bei ni cheap labda why procure used equipment for trial runs? Kwani sheria ya manunuzi inasemaje kuhusu procurement of used equipment.
Kwaiyo ni upigajii umefanyika chini ya maza au marehemu🤔Mkuu nakushangaa umeng'ang'ania ni vichwa vya trial runs, ngoje nikupe uelewa kidogo.
1.
Trial runs kwa mkandarasi hakihitaji trc au waziri asaini mkataba ndio kije, maana hiyo ni mali ya mkandarasi.
2.
Trial runs ya TRC watatumia trains zenyewe kabisa tofauti haitabeba abiria, huwezi kufanya trial runs na kitu tofauti na utakachotumia.
Mm bado nashindwa kuelewa, nauliza tena wakuu zile train tulizokuwa tunaambiwa na kina kadogosa kwamba ni double decker cjui units cjui nininini... ndo haziji bali inakuja mitungi au? Mana nataka nijue ili tusichekane na hawa wakunya kwamba tujue wao wana mitungi ya chang'aa na cc tuna mitungi ya komoni basiiii.Mkuu nakushangaa umeng'ang'ania ni vichwa vya trial runs, ngoje nikupe uelewa kidogo.
1.
Trial runs kwa mkandarasi hakihitaji trc au waziri asaini mkataba ndio kije, maana hiyo ni mali ya mkandarasi.
2.
Trial runs ya TRC watatumia trains zenyewe kabisa tofauti haitabeba abiria, huwezi kufanya trial runs na kitu tofauti na utakachotumia.
Kwaiyo ni upigajii umefanyika chini ya maza au marehemu![]()
Ingefanyika chini ya marehemu ungesikia tu "mkataba ulisainiwa na serikali ya awamu ya tano"Kwaiyo ni upigajii umefanyika chini ya maza au marehemu🤔
Hamna cha icho mzee hapa kuna watu washapiga hela we fikiria 2018 viliuzwa kwa 15000 from its original price ya 4m sasa sisi bongo tutakua tumevinunua kwa sh ngapi dola Mia au tumepewa bure 🤔 hapa kuna watu wamepiga hela ndefuu sanaa aisee inasikitishaLakini pamoja na hayo yooote hivi vichwa bado ni modern in comparison to our swahibas they are set to run at 175km/hr, 4559HP![]()
Kwasabu picha linaanza tunaambiwa ni treni mbili, je hiyo mitungi ya komoni ni hyo hyo au kuna mitungi mingine tuisubiri?Kwaiyo ni upigajii umefanyika chini ya maza au marehemu🤔
Wikiwand😂![]()
ÖBB Class 1014 - Wikiwand
The ÖBB Class 1014 and 1114 were four-axle multi system electric universal locomotives, constructed between 1993 and 1994. The locomotives were designed to oper...www.wikiwand.com
Daah inafikirisha 🤔 watu washaanza kumung'unya na walivyo tangaza private sekta watakuwa included kwenye huu mradi ndo kabisa tumepigwatreni zipo kitambo kutokea 1993/93 ila zimeanza kusafirishwa kuja Tanzania September,2021
i don’t know what you will do with this information!
Naombea isiwe kweliWikiwand😂
Sasa mbona hazijawasili tangu September?
Sisi tuna mkataba na South Korea.Mkuu nakushangaa umeng'ang'ania ni vichwa vya trial runs, ngoje nikupe uelewa kidogo.
1.
Trial runs kwa mkandarasi hakihitaji trc au waziri asaini mkataba ndio kije, maana hiyo ni mali ya mkandarasi.
2.
Trial runs ya TRC watatumia trains zenyewe kabisa tofauti haitabeba abiria, huwezi kufanya trial runs na kitu tofauti na utakachotumia.
Yy alikua bize anashughulikia corona kumbe watu wanatafuta pakutokea huku tumepigwa kweupee laivu bila chengaa😭😭treni zipo kitambo kutokea 1993/93 ila zimeanza kusafirishwa kuja Tanzania September,2021
i don’t know what you will do with this information!
Haya ndio yaliyofanyika tender ya meli ziwa Tanganyika, mwaka sasa hakuna ujenzi wowoteYy alikua bize anashughulikia corona kumbe watu wanatafuta pakutokea huku tumepigwa kweupee laivu bila chengaa😭😭
Ile tenda ya mkandarasi asiyekua na ofisi😅Haya ndio yaliyofanyika tender ya meli ziwa Tanganyika, mwaka sasa hakuna ujenzi wowote
Where did you read this bongolal? Can you substantiate your point?Eastleigh ndio largest shopping area in Kenya by area and by value na Eastleigh yote ni Mali binafsi ya msomali, you can't change it 😑
Kuna watu wanataka sana iwe hovyo ili Magu alaumiwe!haya kumekucha.. vitu vibaya lawama zote kwa Maguvitu vizur sifa kwa Mama
unakumbuka hii? ipo kwenye thread yako Cost & Comparison.. niliamua kukaa kimya mana nilijua “ukimya na muda” sikuzote zitaleta majibu
View attachment 2115349
Yap, na hakuna wa kuwajibishwaIle tenda ya mkandarasi asiyekua na ofisi😅
Mm ili picha ata silielewi 😅 acha tuangalie mchezo kwanza utakuaje nisiwe mrahisi kujudge na swala hatuna uhakika naloKwasabu picha linaanza tunaambiwa ni treni mbili, je hiyo mitungi ya komoni ni hyo hyo au kuna mitungi mingine tuisubiri?