THIS IS MUTHAIGA INTERCHANGE NAIROBI KENYA....MTAFANYA WATZNIA WARINGE NA VISIVYO VYAO JAMENI😂🤣The New 16 Lane kimara- KibahtHay😜😁😁
THIS IS MUTHAIGA INTERCHANGE NAIROBI KENYA....MTAFANYA WATZNIA WARINGE NA VISIVYO VYAO JAMENI😂🤣The New 16 Lane kimara- KibahtHay😜😁😁
Somalia ipo more developed kuliko Kunyaland!BY THE WAY I CAME TO REALIZE UGANDA IS MORE DEVELOPED THAN TZ OUTSIDE CBD...WHAT TZ DOES IS TO COMPETE WITH KENYA BL
OUR 2ND BIGGEST IS BETTER THAN TZs NUMBER 1
tuonyeshe moja hata outside dar yenye inakaribia interchange ya kondelekondole ni interchange hvi ww unajua maaana ya interchange kweli😂😂😂😂
umetumia app ya kidistort image ati ndio utoe hoja....how desperate🤣🤣🤣🤣🤣 hii nchi hapana kwakweli
View attachment 2115623
16 lanes ya wapi 🤣🤣🤣 thika yenyewe ni 8 lanes na munatafuta pakutokea baada ya kuona hii kitu inawanyima usingizi kwa sasa👇👇👇👇👇THIS IS MUTHAIGA INTERCHANGE NAIROBI KENYA....MTAFANYA WATZNIA WARINGE NA VISIVYO VYAO JAMENI😂🤣
nimekuuliza kondolee ni interchange hvi ww unajua maana ya interchange???😂😂😂tuonyeshe moja hata outside dar yenye inakaribia interchange ya kondele
pictures are worth a thousand words.....leta hizo za outside dar tuonenimekuuliza kondolee ni interchange hvi ww unajua maana ya interchange???😂😂😂
hii ni refugee camp ama vipi.....very ugly scenary16 lanes ya wapi 🤣🤣🤣 thika yenyewe ni 8 lanes na munatafuta pakutokea baada ya kuona hii kitu inawanyima usingizi kwa sasa👇👇👇👇👇
View attachment 2115642View attachment 2115643View attachment 2115644
Ila hvi vichwa vinaweza kuwa vya majarbio au atakama havitakua vya majarbio vitakua kama vya backup kwasababu ukimaikilza vizuri hapa mkuregenzi mkuu wa trc anasema treni zitakazotumika za abiria zitakua na uwezo wa kuhifadhi umeme na vinauwezo wa kutembea kwa takribani dakika arubaini hvi iwapo umeme hautakuwepo, na ikitokea umeme usiwepo kabisa kwa zaidi ya izo dakika kutakua na backup ya vichwa vya disel
ila hili dude pia linavuta double decker kama lile alilodescribe mkurugenzi hivi karibuni au?Mm bado nashindwa kuelewa, nauliza tena wakuu zile train tulizokuwa tunaambiwa na kina kadogosa kwamba ni double decker cjui units cjui nininini... ndo haziji bali inakuja mitungi au? Mana nataka nijue ili tusichekane na hawa wakunya kwamba tujue wao wana mitungi ya chang'aa na cc tuna mitungi ya komoni basiiii.
Mwenye uthubutu huo kwa sasa hayupoHivi hatuwezi kupiga daraja toka Karema mpaka Kalemie DRC tuiunganishe kabisa DRC na reli na Barabara? [emoji2955]
Ile cku Kenya itapata 3level interchange kama ya Ubungo au kama hii ya Dodoma ndiyo cku naachana na hii battle 👇👇🤣🤣🤣
Hili dude bhn hata Kama linavuta double decker lkn silo tulilokubaliana.ila hili dude pia linavuta double decker kama lile alilodescribe mkurugenzi hivi karibuni au?
View attachment 2115659
Inamaanisha nini bongolala?Hivi unajua maana ya Isliih? Eastleigh?
umepanic sasa 🤣🤣🤣🤣hii ni refugee camp ama vipi.....very ugly scenary
Kuna kitu baba mi nangoja maelezo ya hivyo vya Austria ni nani mhusika? Mnunuzi ni TRC au Yapi Merkezi?Kwa udadavuzi wangu..na research yangu naona itakuwa hivi...
so Summary ya 42 trains from our Gov Sources
27 From Korea ..10Emu 17 electric locos 296mil
15 from europe 11 Euro stadler (60 mil usd ) ..Germany
4 hvyo ZSS whatever for trials cost 600k euros sawa na 1.4bil tsh Austria
Read below Geza Ulole babayao255 Fundi kitasa
Tanzania jumla imeagiza vichwa 42 vya treni za umeme...na mabehewa 1430...accroding to kadogosa
Tumeagiza kutoka Germany and South Korea..tukumbuke Germany na Austria ni kitu kimoja ..or lets say tofauti.. but soma
So mkataba ambao uko wazi ni Wa soutth korea ambao tunajua ni Vichwa 17 vya treni ya umeme na EMU 10..each 8 rails cars making a total of 80 rail cars ...so ukichukua EMU kama Kichwa which is not obvious
Huu mkatba uko wazi
190 mil usd for 10 EMUS each emu cost 19mil usd
106mil usd for 17 Electric locomotives ..means each almost 6mil usd..
tumeagiza Vichwa 27 kutoka South korea..meaning
42-27=15
So kuna Vichwa 15 to be expected from Germany /Austria ....nakumbuka kuna ki info kilsika hapo nyuma ..tena alisema Msemaji wa GOV before huyu gerson..sijui abbas..kama tumeorder vichwa worth 60 mil usd ...
Plus kuna habari ya Vichwa viwili from Europe ambavyo watu walihisi ni kati ya Bombardier au Euro Stadler ..
Na pia tuna habari ya Tz ku order 6 Euro stadler Dual tho its not known ni mkataba wa kimya kimya ..kumbuka habari za treni zetu kutumia Disel na Umeme hii inamaanisha kweli tumenunua Euro Stadler
Kichwa kipya kinatumia Miaka hata 3 to 4 kujenga ..so..
what i expect for 60 mil usd tutapata around vichwa 11...why ?? nmeweka hapo chin Kichwa kimoja cha Euro stadler ni 5.5mil usd
But so far tunaskia tumeorder 6 euro stadler that means we have spent 33 mil usd ..for them
So Vinabaki vichwa 9 from 15 ile tumetoa na (42-27ya korea)
Na hela from 60 mil inabaki 27 mil
but 1 euro stadler cost 5.5mil.means( 11 -6euro stadler zinazojulikana) inabaki 5 na hyo inaamnisha tunaweka kuwa tuliweka order ya euro stadler 11 ..na sio 6 tu ..
So I expect 11 euro stadler which cost around 60 mil usd...na hizi zilikuwa ordered 2020 wakati wa magu...na ni vichwa vizur na vina speed ya 160km kama reli yetu itakavyo ..
So kwenye ile 15 iliyopatikana kutoka 42 toa 27..inabaki 15 toa 11 (euro stadler )
Inabaki 4 ..hvyo vichwa vinne nimeona mtu anasema cost ni 150k euros sitashaangaa tukiwa tumeorder vije kuwa trial..kwa dola 600k sawa na 1.3bil tsh ..
so Summary ya 42 trains from our Gov Sources
27 From Korea ..10Emu 17 electric locos 296mil
15 from europe 11 Euro stadler (60 mil usd )
4 hvyo ZSS whatever for trials cost 600k euros sawa na 1.4bil tsh
View attachment 2115508View attachment 2115510View attachment 2115534View attachment 2115535View attachment 2115537
Vya South Korea vinakuja ila kuanzia 2024...Ile cku Kenya itapata 3level interchange kama ya Ubungo au kama hii ya Dodoma ndiyo cku naachana na hii battle [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili dude bhn hata Kama linavuta double decker lkn silo tulilokubaliana.
The second deepest...Inawezekana ila labda tuwe wachina maana unaambiwa lake Tanganyika is the deepest lake in the World!