Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya mna road Kama ile inayojengwa Dodoma? Tangu lini mkajenga vitu standard nyie zaidi ya kufosi mambo? Mlipoona tumejenga 3level ya kwanza East and Central Africa na nyie mkaiga kuilazimisha expressway ipite maneno hata yasiyo lazima mradi tu na nyie mpate 3level
your dodoma currently has no interchange......what a poor country. Poleni tanganyikans
 
kujenga maduara duara ya siyo na maana ndiyo urich ,kweli we kiazi

jengeni vitu kulingana na mahitaji,siyo kujenga jenga vitu ilimradi angalau hiyo express way imejengwa sehemu sahihi na mda sahihi na baadhi ya flyover na interchange zilizopo sehemu zenye ubize,ila hivyo vingine mlivyojenga ni takstaka tu hazina manufaa kwa mkenya mzalendo zaidi na zaidi ni matumizi mabaya tu ya pesa,
wenzetu walishapiga hatua mda sana ndiyo maana walijenga miundo hiyo ila si kama yenu ya kikenya maduara type for nothing vichskani

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
UNAONGEA UTUMBO

nothing kamanda hakuna chamaana mnachofanya zaidi ya ushamba na matumizi mabaya ya pesa,
kwani bila hayo maduara duara ya siyo na maana hamuwezi kujenga road na car zikapita kuelekea otherside of town au ni ushamba tu na matumizi mabovu ya pesa,ingekuwa ni hivyo basi katika kila nchi kwenye hii dunia ingejenga hiyo miduara isiyo na faida ili cars ziende town na otherside,

huna akili kichwa chako box
hii ni nini sasa huko vichakani
View attachment 2115785

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Haya Makenya ni majinga sn huwa yanajenga vitu low quality kwa ajili ya show off na co kwa ajili ya mahitaji Kama cc tunavyofanya na ndio maana mpk leo yanahangaika na njaa kwa kupenda sifa za kijinga, hayo maduara wala hayana faida kwao c unaona road iko empty hyo.

Hapo utakuta yamejenga hivyo ili pafanane na road fulani na kwa bahati mby huwa yanaishia kupigwa kama unavyoona hapo kwenye picha ni matuta mengi na vumbi, na ndiyo maana yanaona wivu tunapojenga infrastructure zetu za kiwango cz cc hatukurupuki Kama wao na hatujengi kwa kujionesha bali kwa uhitaji lkn vitu quality.

Hata expressway wameipitisha sehemu zingine zisizo stahili mradi tu na wao wawe na 3level Kama Tz lkn mwisho wa siku wanaambulia vitu ugly.
 
FLTbP-nWQBU1MC-
 
Wataelewa tu watake wasitake, Mungu humlipa mtu mwema kwa mema yake, Kama watu watashindwa kusema kuhusu mema ya huyo mtu basi atayaamulisha hata mawe yaseme na ndiyo maana utasikia mtu akiropoka "daahh naskia sauti, naskia sautiii" hayo ndiyo mawe yenyewe sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haya Makenya ni majinga sn huwa yanajenga vitu low quality kwa ajili ya show off na co kwa ajili ya mahitaji Kama cc tunavyofanya na ndio maana mpk leo yanahangaika na njaa kwa kupenda sifa za kijinga, hayo maduara wala hayana faida kwao c unaona road iko empty hyo.

Hapo utakuta yamejenga hivyo ili pafanane na road fulani na kwa bahati mby huwa yanaishia kupigwa kama unavyoona hapo kwenye picha ni matuta mengi na vumbi, na ndiyo maana yanaona wivu tunapojenga infrastructure zetu za kiwango cz cc hatukurupuki Kama wao na hatujengi kwa kujionesha bali kwa uhitaji lkn vitu quality.

Hata expressway wameipitisha sehemu zingine zisizo stahili mradi tu na wao wawe na 3level Kama Tz lkn mwisho wa siku wanaambulia vitu ugly.
kabisa ni wapuuzi sana

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana, haya makubaliano yalivunjwa au , waliona bomu lausonlinakuja wamevificha kwanza wagize uko german then badae kukiw attation imepungua ndio wavilete
Kama itawezekana wafanye hivyo wasije wakainajisi SGR yetu bora Africa kwa kupitisha mtungi kabla ya EMU.
 
aisee hili ni bomu linakuja nimejaribu ku-research tayari hii model 1014 ni ya mwaka 1993 na 1994 na ilikuwa retired na Ă–BB tangu 2009 na kampuni inaitwa Zeller Transport Technique (ZTT) ilizinunua kabla ya kufilisika! Kiufupi ni scrap! Inawezekana haya ni madudu ya Mawaziri waliopita ndo maana mama aliwapangua!
msipende kuongea sana wakati hamna data
 
Kenya mna road Kama ile inayojengwa Dodoma? Tangu lini mkajenga vitu standard nyie zaidi ya kufosi mambo? Mlipoona tumejenga 3level ya kwanza East and Central Africa na nyie mkaiga kuilazimisha expressway ipite maneno hata yasiyo lazima mradi tu na nyie mpate 3level🤣🤣🤣🤣🤣🤣
wish u only knew tht here in kenya we are very ignorant and very much less concern whts happening down there. a good no. of kenyans didn't even knew the late magaful! and so on... if you don't believe me now, you ll believe me later
 
wish u only tht here in kenya we are very ignorant and very much less concern whts happening down there. a good no. of kenyans didn't even knew the late magaful! and so on... if you don't believe me now, you ll believe me later
Unaongea lugha chafu chafu asubuhi mpk usiku, hujui kingereza wala kiswahili, hukwenda shule?
 
msipende kuongea sana wakati hamna data
bila kuongea hawa TRC watatuletea madudu maana hadi leo hawaeleweki,mi binafsi nishawatag kule twitter na nimeiacha isambae tu ili wajue kuwa kila kinachofanyika kwa hii project ya SGR kuna wazalendo nyuma tunafuatilia kila hatua na si kwa SGR peke yake bali kwa miradi yote yakimaendeleo

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom