Kwa udadavuzi wangu..na research yangu naona itakuwa hivi...
so Summary ya 42 trains from our Gov Sources
27 From Korea ..10Emu 17 electric locos 296mil
15 from europe 11 Euro stadler (60 mil usd ) ..Germany
4 hvyo ZSS whatever for trials cost 600k euros sawa na 1.4bil tsh Austria
Read below
Geza Ulole babayao255 Fundi kitasa
Tanzania jumla imeagiza vichwa 42 vya treni za umeme...na mabehewa 1430...accroding to kadogosa
Tumeagiza kutoka Germany and South Korea..tukumbuke Germany na Austria ni kitu kimoja ..or lets say tofauti.. but soma
So mkataba ambao uko wazi ni Wa soutth korea ambao tunajua ni Vichwa 17 vya treni ya umeme na EMU 10..each 8 rails cars making a total of 80 rail cars ...so ukichukua EMU kama Kichwa which is not obvious
Huu mkatba uko wazi
190 mil usd for 10 EMUS each emu cost 19mil usd
106mil usd for 17 Electric locomotives ..means each almost 6mil usd..
tumeagiza Vichwa 27 kutoka South korea..meaning
42-27=15
So kuna Vichwa 15 to be expected from Germany /Austria ....nakumbuka kuna ki info kilsika hapo nyuma ..tena alisema Msemaji wa GOV before huyu gerson..sijui abbas..kama tumeorder vichwa worth 60 mil usd ...
Plus kuna habari ya Vichwa viwili from Europe ambavyo watu walihisi ni kati ya Bombardier au Euro Stadler ..
Na pia tuna habari ya Tz ku order 6 Euro stadler Dual tho its not known ni mkataba wa kimya kimya ..kumbuka habari za treni zetu kutumia Disel na Umeme hii inamaanisha kweli tumenunua Euro Stadler
Kichwa kipya kinatumia Miaka hata 3 to 4 kujenga ..so..
what i expect for 60 mil usd tutapata around vichwa 11...why ?? nmeweka hapo chin Kichwa kimoja cha Euro stadler ni 5.5mil usd
But so far tunaskia tumeorder 6 euro stadler that means we have spent 33 mil usd ..for them
So Vinabaki vichwa 9 from 15 ile tumetoa na (42-27ya korea)
Na hela from 60 mil inabaki 27 mil
but 1 euro stadler cost 5.5mil.means( 11 -6euro stadler zinazojulikana) inabaki 5 na hyo inaamnisha tunaweka kuwa tuliweka order ya euro stadler 11 ..na sio 6 tu ..
So I expect 11 euro stadler which cost around 60 mil usd...na hizi zilikuwa ordered 2020 wakati wa magu...na ni vichwa vizur na vina speed ya 160km kama reli yetu itakavyo ..
So kwenye ile 15 iliyopatikana kutoka 42 toa 27..inabaki 15 toa 11 (euro stadler )
Inabaki 4 ..hvyo vichwa vinne nimeona mtu anasema cost ni 150k euros sitashaangaa tukiwa tumeorder vije kuwa trial..kwa dola 600k sawa na 1.3bil tsh ..
so Summary ya 42 trains from our Gov Sources
27 From Korea ..10Emu 17 electric locos 296mil
15 from europe 11 Euro stadler (60 mil usd )
4 hvyo ZSS whatever for trials cost 600k euros sawa na 1.4bil tsh