Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

aisee hili ni bomu linakuja nimejaribu ku-research tayari hii model 1014 ni ya mwaka 1993 na 1994 na ilikuwa retired na ÖBB tangu 2009 na kampuni inaitwa Zeller Transport Technique (ZTT) ilizinunua kabla ya kufilisika! Kiufupi ni scrap! Inawezekana haya ni madudu ya Mawaziri waliopita ndo maana mama aliwapangua!
Hivi vichwa haviwezi kuwa vilinunuliwa enzi za JPM zaidi ya mwaka mmoja nyuma vifike leo wakati ni used scraps, lazima vingeshakua vimefika tayari siku nyingi hii ni procurement ya Samia
 
Ila kama ni hivyo vya Tar 17 vinaingia vichwa vya Yapi Merkezi! Tusije kulaumu TRC bure!
BTW mkumbuke JPM aliondoka wizara ya Ujenzi na kashfa ya boti mbovu kutoka Bangladesh!

Mbona usemi amefariki dunia akiiacha Tanzania na miundombinu ya world's standard, umeamua kuona hilo uliloona peke yake? Hivi una matatizo gani wewe? 🚮🚮
 
Mkuu nakushangaa umeng'ang'ania ni vichwa vya trial runs, ngoje nikupe uelewa kidogo.

1.
Trial runs kwa mkandarasi hakihitaji trc au waziri asaini mkataba ndio kije, maana hiyo ni mali ya mkandarasi.

2.
Trial runs ya TRC watatumia trains zenyewe kabisa tofauti haitabeba abiria, huwezi kufanya trial runs na kitu tofauti na utakachotumia.
Labda nikurekebishe kidogo trial runs hufanyika hata na passengers on board. Kuna different levels of trials.
 
Yap, na hakuna wa kuwajibishwa

Ila hvi vichwa vinaweza kuwa vya majarbio au atakama havitakua vya majarbio vitakua kama vya backup kwasababu ukimaikilza vizuri hapa mkuregenzi mkuu wa trc anasema treni zitakazotumika za abiria zitakua na uwezo wa kuhifadhi umeme na vinauwezo wa kutembea kwa takribani dakika arubaini hvi iwapo umeme hautakuwepo, na ikitokea umeme usiwepo kabisa kwa zaidi ya izo dakika kutakua na backup ya vichwa vya disel
 
Update: Karema port

FLQL9pCXMAo-2me

FLQMCDYWQAYClhr

FLQMD-EXsAYKKwH

FLQMH_tX0AgCxFL

MY TAKE
Bring DRC Congo on!

Kuna port kama 3 hivi zinazoweza ku join na DRC ..Karema, Kasanga and Kigoma..after completion our focus should be adding many shipping..vessels as per demand...

And kuhakikisha Reli imefika kigoma na karema port ..tukishashika Transport ya Eastern DRC yote...

NMB na CRDB waingie sasa Congo...

Hata ningekuwa GOT ningestudy telecommunication ya Congo...kisha kufikiria kupeleka Mkongo wa mtandao kama hawana..plus TTCL kuanzisha mtandao kule ...

Hii ndo itafanya tu benefit na uchumi mkubwa wa DRC
 
yani hako kamoja tu ka dodoma, kanakufanya mat*ko kulia mbwata!

nb:- we have 100+ nationally
Lack of exposure is the major problem for these tanzanians....... vitu zile basic sana wanapigia kelele inatia aibu kwao
 
Mm bado nashindwa kuelewa, nauliza tena wakuu zile train tulizokuwa tunaambiwa na kina kadogosa kwamba ni double decker cjui units cjui nininini... ndo haziji bali inakuja mitungi au? Mana nataka nijue ili tusichekane na hawa wakunya kwamba tujue wao wana mitungi ya chang'aa na cc tuna mitungi ya komoni basiiii.
Kuna Mikataba mitatu so far nnayojua kuhsu electric locomotives na mabehewa

1 ..Hivyo vichwa viwili vya Germany walisema hvyo na mabehewa yake sikumbuki mangap..kumbukeni Germany na Austria ni kama nchi moja tu

2..Mkataba wa EMU 10 na Electric locomotives 17 na behewa huo wamekuweka wazi bei ndo wa South Korea ..ikumbukwe EMU 1 ina rail cars 8...making a total of 80 rail cars so 10 emus each 8 rail cars...na 17 electric locomotives hivyo ni vichwa tu havina rail cars vitavuta behewa za kawaida ..HIVI VITAKUJA 2024 ..

3.Makataba na China wa 1430 mabehewa

babayao255 Fundi kitasa

Screenshot_20220211-081911_Chrome.jpg
 
Mm bado nashindwa kuelewa, nauliza tena wakuu zile train tulizokuwa tunaambiwa na kina kadogosa kwamba ni double decker cjui units cjui nininini... ndo haziji bali inakuja mitungi au? Mana nataka nijue ili tusichekane na hawa wakunya kwamba tujue wao wana mitungi ya chang'aa na cc tuna mitungi ya komoni basiiii.

Kuna port kama 3 hivi zinazoweza ku join na DRC ..Karema, Kasanga and Kigoma..after completion our focus should be adding many shipping..vessels as per demand...

And kuhakikisha Reli imefika kigoma na karema port ..tukishashika Transport ya Eastern DRC yote...

NMB na CRDB waingie sasa Congo...

Hata ningekuwa GOT ningestudy telecommunication ya Congo...kisha kufikiria kupeleka Mkongo wa mtandao kama hawana..plus TTCL kuanzisha mtandao kule ...

Hii ndo itafanya tu benefit na uchumi mkubwa wa DRC

Hivi hatuwezi kupiga daraja toka Karema mpaka Kalemie DRC tuiunganishe kabisa DRC na reli na Barabara?
 
Kuna port kama 3 hivi zinazoweza ku join na DRC ..Karema, Kasanga and Kigoma..after completion our focus should be adding many shipping..vessels as per demand...

And kuhakikisha Reli imefika kigoma na karema port ..tukishashika Transport ya Eastern DRC yote...

NMB na CRDB waingie sasa Congo...

Hata ningekuwa GOT ningestudy telecommunication ya Congo...kisha kufikiria kupeleka Mkongo wa mtandao kama hawana..plus TTCL kuanzisha mtandao kule ...

Hii ndo itafanya tu benefit na uchumi mkubwa wa DRC
Ila CRDB waende sasa tayari biashara inafanyika! Overy 55% of eastern DRC cargo inapitia Dar port! No excuses for further delays!
 
Back
Top Bottom