Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,716
- 107,164
Hii kampuni ya ZTT imefilisika na hivi vichwa zilikuwa vinauzwa 15,000€!Vichwa vya trial run between Dar and Moro lakini vimenishtua kidogo upigaji mkubwa utakuwa umefanyika hapa ndio maana TRC walikuwa wanakwepa sana kuweka wazi hili.View attachment 2115344View attachment 2115345View attachment 2115346View attachment 2115347View attachment 2115348