Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
hii 150, ni 3000 Tsh kwa bongo
BRT ya kuungaunga afu wanalipishwa parefu![]()
for their information, sisi tunaweza kulipa 650 Tsh (32 Ksh) kutoka Mbezi hadi Gerezan, over 22 km
Ulipie 3000 bongo kwani utakua unaenda morogoro😅

