Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unbenannt.PNG




FLIxekFXoAAcIrJ



MY TAKE
For those claiming our pilots r only Indian and Arabs!
 
Sina tatizo na black colour nina tatizo na rangi ya wakenya walio wengi wamepauka kwa dhiki na wala co weusi wa kawaida, hii vita mmeanza nyinyi wakenya but cc tunaenda na beats zenu, kuna watz huwa wananishangaza sn cjui ni kutafuta kiki kwenye hii thread ama ni vipi, yn matusi ya colour wanayotoa wakunya hawayaoni lkn wanatuona cc ndio wakorofi huu ni ujinga, watz hampaswi kusahau aina ya watu tunao battle nao humu kwamba wengi ni washenzi na wenye kejeli, ss msitake kujifanya nyinyi ndio mnajua na kwamba cc hatujui tunachofanya, tunaenda na beats zao ili wakasimuliane huko kwao kwamba wakija humu wawe na heshima na adabu kwani vurugu zote tunaziweza.
Tatizo kaandika kijana anayepaka lotion dar
Yani anashindana na amber rutty kujichubua
 
mwacheni mama afanye kazi! Kama unampenda namna hiyo JPM, mbona usizikwe nae kama kwenye Shaka Zulu?
Wewe vyeti feki tunakujua ,baada yaxkutumbuliwa sasa unauchungu hadi matak*ni ukome kumiliki vyeti feki ukijidai msomi
 
Jamaa yani anajua kupiga pini, mpka mnahaha, huaga namkubali sana Walker255 jamaa nimkimya lkn akiamua kupuga pini nzi wote wa kijani husambaaratika alafu ndio unaanza kukuta mmoja wanajitafuta kipya

Pole sana, hapo nyie wanaume pingeni hoja zake malalamishi pelekeni kituoni mbezi

Siku zote ndege wafananao ndo huruka Pamoja.

Kwenye kukurupuka una tofauti gani na huyo unayemkubali?
 
Mwaka huu lazima muuwane alafu ukuje utuambie hambaguani.
Hiyo ni mambo ya media babaa ..kenya is a very mature country ..huku usitu judge kwa yale unayaskia kwenye tv etc...we love each other na tuna umoja sana..we work together and we love one another....What we have in kenya is freedom of the media ..freedom of speech ...freedom of expression....Huku kenya hatusumbuliwi au kunyanyaswa na serikali kama tanzania...eti mtu anshikwa kwa sababu ya ku post sijui eti nani mgonjwa kalazwa kenya blabla.
Tanzania mnaumia sana kutuliko sisi ni vile tu kwenu ukifungua mdomo...utajua kilicho mtoa tundulissu manyoyaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom