Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We unaongea vitu gani wew.? [emoji23][emoji23][emoji23] Moshono na njiri ni maeneo tofauti..
Kuna mahali nimesema ni the same? Unadhani tukiongelea tz ni mahali hatupajui, mimi si wewe naona kwa mitandao, arusha nimefika mpaka ngorongoro na loliondo, beautiful scenery tho
 
Kuna mahali nimesema ni the same? Unadhani tukiongelea tz ni mahali hatupajui, mimi si wewe naona kwa mitandao, arusha nimefika mpaka ngorongoro na loliondo, beautiful scenery tho
😂😂😂😂 We ni fala nini umepita njia tu unataka kujifanya unaijua mitaa .. heb ngoja tupige story kistaarabu .. ulikuja Chuga mwaka gani.?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We ni fala nini umepita njia tu unataka kujifanya unaijua mitaa .. heb ngoja tupige story kistaarabu .. ulikuja Chuga mwaka gani.?
Wee ni matusi tu unajua , im sure unajua hio daraja ya moshono wameikarabati lini, nina pisi hapo moshono karibu st.jude

Njiro ndio mtaa nakaa tangu 2014 my first time in arusha
 
Unataka kuona pia what didn't exist in 2012 in Kenya?., mzee baba bado mko nyuma baada ya miaka kumi[emoji23][emoji23], hakuna siku Kenya ilisimama kuwangoja., mnashangaa shangaa na new developments zenye mlikua hamna mnadhani mmefika eti., Dar utatuletea vipicha around same place angles tofauti.., yaani Dar ni one CBD tu kiukweli, kwingine ni ushuzi tupu, picha humu ni around your few best buildings angles tofauti mmepaka lipstick, mbali na hapo ni vipicha vya kuficha aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., tunawaacha mbali kila uchao, Ngojeeni SGR ya umeme, ambayo ni umeme tu hakuna cha ajabu, tofauti ni means ya powering [emoji23][emoji23], mnaona ni big deal, idiots[emoji23][emoji23], mfano Kuna Toyota Noah hybrid( electric and petrol), na Kuna pure petrol, zote ni Toyota Noah, powering ndio tu tofauti[emoji848][emoji12][emoji23]., Mitanzania na fikra duni.., hadi raha[emoji23]
Mbn muoga sana we jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbn muoga sana we jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sio makosa yako kufikiria vile,
Enjoy ya weekend man...,
FB_IMG_16380681663845571.jpg
 
Kesho niko the don, wewe baki hapo ukilazimisha uongo [emoji1787][emoji1787]
Kumbe umemuona vizuri, jamaa analazimisha what ain't there, tukiweka facts utaskia vijisababu uchwara., huyu ni uzalendo tu inamsumbua., typical Tanzanian., Ajipe shughli tu.,
 
sisi hutawai sikia tumenyima sector muhimu kama education fedhaa....infact education ministry ndo ministry inayotengewa fedha nyingi kenya. inapokea zaidi ya $5 billion kila mwaka, alafu pia mgao wa CDF(Constituent development fund) huenda kujenga madarasa na bursaries kwenye eneo bunge husika
Lakini kilimo, maji, mifugo na uvuvi, sectors ambazo ndio uti wa mgongo wa uchumi wenu ndio mnasubiri misaada sio?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yourselves dint even knw if he was alive while kenyans reported he was dead though, nyinyi watu wabishi tho hahaha
Hadi Sasa hatujui kwamba Mt.Kilimanjaro upo Kenya, Kenya media ndio zenye kutuambia, kweli sisi ni wabishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom