Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Wewe utanimbia nini wewe bwege, African travella anaonyesha maeneo mazuri katika kila mji ndani ya kenya na ikiwa hajaweka eneo means sio eneo zuri, amopost video zaidi ya mbili kuhusu Mombasa na kama Mombasa ndio ile just tu haina maajabu.. eti Eldoret amekava less than half 😂😂😂, alafu usije ukajua napiga kelele za bure nakwambia kitu nnachokijua, mimi haya majiji yote tz nimetembea kasoro znz na nayajua vizur mno, hakuna solo travella wa bongo hapa ambae amewahi kuonyesha maeneo mazuri tz kama ipasavyo (kama anavyofanya Afrikan travella) .. ntakupa kwa mfano .. Arusha maeneo wanayoishi posh kwa wingi ni Njiro na Uzunguni, middle class kwa wingi wanaishi Moshono nowdays .. je umeshawahi kuona vid za hizo mitaa.? Make google earth your friend..Kwani African traveller ame cover Mombasa yote kilaza? Wewe unajua Kenya kupitia Afrikan traveller Mimi naijua Kenya zaidi ya video za Afrikan traveller, hiyo Mombasa, Afrikan traveller ame cover Buxton area, Tudor, Bamburi, Bombolulu? Shanzu he?., jamaa alicover tu CBD kwa wingi na sio yote., Unatafuta slum ili ujiliwaze una ulivyo boys, Eldoret jamaa amecover less than half unajua hilo?., usiwe mwelesi wa kukurupuka dogo., uliza tu ama chunguza pole pole, try other youtubers, Kama Liv Kenya yeye ame cover Mombasa na pwani sana kuliko Afrikan traveller ambaye huwa anapita tu juu juu, Liv ana cover street level, hana drone but nice camera..., Naona unajaribu sana kutetea Tz but hautofaulu kwa kupingana na ukweli ulio wazi, nakuhakikishia dogo.

