Kenya ni Nairobi na Nairobi ni Kenya alafu 70% ya Nairobi ni Slums hata wakunya wa humu wanajua, kuna ma slums mengine yamezinduliwa hivi karibuni, zen 10% ya Nairobi ndiyo vi apartments na vighorofa viwili vitatu, 20% ni pori na mbuga ya Nairobi national park. Maeneo mengine asikudanganye mtu ni vijumba vya mabati na udongo na vimaendeleo kdg maeneo ya mjini.
Shida ya Wakenya ni siasa, unakuta eneo ni pori lkn kuna ka overpass hususan maporini wanapotoka wakikuyu na Wakalenjin (wanasiasa), ss hako ka overpass katapigwa make up zen kanarushwa google kwamba kuna maendeleo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using
Jamii Forums mobile app