Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ni Nairobi na Nairobi ni Kenya alafu 70% ya Nairobi ni Slums hata wakunya wa humu wanajua, kuna ma slums mengine yamezinduliwa hivi karibuni, zen 10% ya Nairobi ndiyo vi apartments na vighorofa viwili vitatu, 20% ni pori na mbuga ya Nairobi national park. Maeneo mengine asikudanganye mtu ni vijumba vya mabati na udongo na vimaendeleo kdg maeneo ya mjini.

Shida ya Wakenya ni siasa, unakuta eneo ni pori lkn kuna ka overpass hususan maporini wanapotoka wakikuyu na Wakalenjin (wanasiasa), ss hako ka overpass katapigwa make up zen kanarushwa google kwamba kuna maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Humo kwenye huo Uzi hawazi kuja.. wako hovyo sana wasenge hawa, wakipata apartments mbili tatu eti ndio tayari wanadai wako na makazi mazuri 😂😂😂😂, hawa ni vichaa
Dogo, ikija makAZI
Driving in Arusha Tanzania 👇. Oya Don YF njoo ujionee Chuga ilivyonzuri kwa sasa .. kumbe tanzania uliokuja wew ni ya miaka mitano iliyopita ..tz umebadilika sana bro, kwasababu karibu kila kitu tumejenga kipindi hiki ambacho Magufuli ndio alikua raisi .. kuhusu standard of living watu Arusha Wana pesa bro ni vile tu hakuna content creator ambae anafanya mambo za kuonyesha uzur wa miji but leo ntakutaftia baadhi tu ya vid zimewekwa kuhusu makazi ya watu wanaojiweza dani ya ARUSHA 👇. . , na hapa hakuna maeneo kibao yenye wanaishi washua ndani ya Chuga.. halaf eti mnataja taja kuhusu makazi ya watu kisa eti apartments za wakazi wasiozidi 1000😂😂😂 ilihali namba kubwa ya watu wenu wanaishi kwenye nyumba za mabati kama wanyama.. 😂😂😂

Wewe dogo wanchekesha sana😂😂😂😂 alafu unataka I battle with u blind patriot!!.., See your life now😂😂😂😂😂 nilisema Tz bado sana unabweka bweka kwa maumivu, nilijua utajiumbua tu.., Try Ugandan towns been there, mnaeza level kaka, sio madharau ni ukweli bro.., mko way below!!!., Kwanza makazi ya kawaida.., low life village type ndio zenu.., ukitaka kesho naweza nikakukasirisha na facts after facts ukatafuta akina Kibera ili kujikomboa., Mimi ndio bakora ya mitanzania wenye kiburi kama wewe😂😂😂😂., kojoa ulale dogo tu.
 
Kenya ni Nairobi na Nairobi ni Kenya alafu 70% ya Nairobi ni Slums hata wakunya wa humu wanajua, kuna ma slums mengine yamezinduliwa hivi karibuni, zen 10% ya Nairobi ndiyo vi apartments na vighorofa viwili vitatu, 20% ni pori na mbuga ya Nairobi national park. Maeneo mengine asikudanganye mtu ni vijumba vya mabati na udongo na vimaendeleo kdg maeneo ya mjini.

Shida ya Wakenya ni siasa, unakuta eneo ni pori lkn kuna ka overpass hususan maporini wanapotoka wakikuyu na Wakalenjin (wanasiasa), ss hako ka overpass katapigwa make up zen kanarushwa google kwamba kuna maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kwa maumivu kweli mzee baba, nenda ukanyonge huyu mwenzenu hapa, sio mzalendo huyu👇👇😂😂😂😂
Screenshot_20211203-212333.jpg

Screenshot_20211203-212526.jpg

Screenshot_20211203-212605.jpg


Screenshot_20211203-212551.jpg
 
Mko na city moja tu, na ni Dar pekee., Arusha iko na muonekano bora kuliko Mwanza, levels za Kitanzania, hapa Kenya Arusha bado sana., nje ya CBD mashambani., not many nice developed estates., mnaishi tu ovyo ovyo, bora ule na ulale,, mko na mwendo kaka.
nyinyi muko na city ngap hebu tuambie tucheke 😂😂😂😂😂
 
Dogo, ikija makAZI

Wewe dogo wanchekesha sana alafu unataka I battle with u blind patriot!!.., See your life now nilisema Tz bado sana unabweka bweka kwa maumivu, nilijua utajiumbua tu.., Try Ugandan towns been there, mnaeza level kaka, sio madharau ni ukweli bro.., mko way below!!!., Kwanza makazi ya kawaida.., low life village type ndio zenu.., ukitaka kesho naweza nikakukasirisha na facts after facts ukatafuta akina Kibera ili kujikomboa., Mimi ndio bakora ya mitanzania wenye kiburi kama wewe., kojoa ulale dogo tu.
Hehehehee wewe ni bonge la jibwa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ilikua miaka kumi iliyopita na kama nilivyoconclude mwisho hapo mwaka 2012

Sasa hivi Tuna Avic Town, Fumba Town, NHC Mwongozo, NSSF mtoni Kijichi, Dege Eco Village, Watumishi Housing, 7 11 Kawe , Magomeni Kota, See breeze apartments etc.
Ambazo zimeprove nilichokisema. Na katika kipindi hicho katikati hadi sasa hivi tumewakimbiza kwenye over 30Fl towers.

Imagize A Capitalist nation, A very aggressive, Business minded and highly educated (Githeri Syllabus ) mnatembeleshwa Kichwa na Tz. What a loss。


All these didn’t exist in 2012.

View attachment 2031829

View attachment 2031830
View attachment 2031831
View attachment 2031832
View attachment 2031833
View attachment 2031834
View attachment 2031835
Unataka kuona pia what didn't exist in 2012 in Kenya?., mzee baba bado mko nyuma baada ya miaka kumi😂😂, hakuna siku Kenya ilisimama kuwangoja., mnashangaa shangaa na new developments zenye mlikua hamna mnadhani mmefika eti., Dar utatuletea vipicha around same place angles tofauti.., yaani Dar ni one CBD tu kiukweli, kwingine ni ushuzi tupu, picha humu ni around your few best buildings angles tofauti mmepaka lipstick, mbali na hapo ni vipicha vya kuficha aibu😂😂😂😂., tunawaacha mbali kila uchao, Ngojeeni SGR ya umeme, ambayo ni umeme tu hakuna cha ajabu, tofauti ni means ya powering 😂😂, mnaona ni big deal, idiots😂😂, mfano Kuna Toyota Noah hybrid( electric and petrol), na Kuna pure petrol, zote ni Toyota Noah, powering ndio tu tofauti🤔😜😂., Mitanzania na fikra duni.., hadi raha😂
 
That stupid Hospital is very bogus, nor any sane person can think about it, come and see how Hospitals look like, there is nor any Tanzania's leader who thinks about Kenyan Hospital
1)Mlima Kilimanjaro upo Kenya
2) Diamond ni Mkenya
3)Olduvai Gorge ipo Kenya
4) Magufuli amefia Kenya
Yourselves dint even knw if he was alive while kenyans reported he was dead though, nyinyi watu wabishi tho hahaha
 
Back
Top Bottom