Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyoooo si ulikua unapingaa, Bora ungetulia kama malzy wenzako hii story ingeisha lakini ukajitia mwamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇View attachment 2031969
Kuna mzungu pia kamaliza mjadala., anajiita Sabattical kwa YouTube Channel yake, alianza Dar., and he liked the place at first, hakujua Kuna bonge la jiji kwa maendeleo, after finishing Nairobi alikiri ukweli, then he went to Nigeria., (He had toured cities zote za EAC).., sasa mwenzao pia kakiri baada ya kufika, amegundua jf ni porojo tu na vipicha uchwara, I like where he said Nairobi iko na city centre yenye inakaa city centre zaidi ya moja, yaani kuna sehemu level ya posta yao na iko nje ya CBD.., na ni ukweli kabisa., Developed area in Dar ni ndogo sana!!!
 
Kuna mzungu pia kamaliza mjadala., anajiita Sabattical kwa YouTube Channel yake, alianza Dar., and he liked the place at first, hakujua Kuna bonge la jiji kwa maendeleo, after finishing Nairobi alikiri ukweli, then he went to Nigeria., (He had toured cities zote za EAC).., sasa mwenzao pia kakiri baada ya kufika, amegundua jf ni porojo tu na vipicha uchwara, I like where he said Nairobi iko na city centre, yaani sehemu level ya postal yao nje ya CBD.., na ni ukweli kabisa., Developed area in Dar ni ndogo sana!!!
There's no debate kwamba NBO Iko juu ya Dar slum, mtu yeyote unbiased atakwambia. Muulizeni NDINDA atawaambia👇👇👇🤣
3015436_Screenshot_20190731-110558.png
 
hebu imagine www.tuko.co.ke ndio wametoa kwenye web yao kwann wao mbona sinaona wengine au media za tanzania hazipo?? kwann sio citizen tv au ntv ?? 🤣🤣🤣

why kiblog uchwara
niamini mm dar inawanyima usingizi na leo ndio nimeamini

yani leo umefanya nimefurahi sana thanks for that🤣🤣🤣🤣
Na kwani ni news kwa akina citizen ama NtV? Kilaza wewe., hiyo tunajua tokea zamani, pengine Dar iipiku Nairobi itakua news ba mzee., Lakini bado., Sasa umeona ni ukweli umebadili gear hewani😂😂😂😂., mwarabu wacha umwehu., Ukishikwa shikamana, fyata na upite kimya kimya kama wenzako😂😂😂😂😂😂., ukubwa wa Dar ni udongo na idadi ya watu., ambao wengi ni fukura kuruka!😂 matokeo ni makazi uchwara yaani ushuzi ulio tapakaa 90% of the sq km😂😂., mgeni atakuambia ukweli ulio wazi sana, wewe nenda ukalilie kwa choo😂😂😂😂😂😂.,
 
Ichoboy atauliza who is NDINDA 🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂 Alafu hajui economics ukisoma anavyo kurupuka about debt to GDP ratio utacheka., ama paying toll ya expressway, ana expose his ignorance sana, afadhali angefyata kama hana uwelewa wa specific topic., some Tanzanians are just idiots, ata kwa studio kulikua na mbishi, then akauliza Levo kifala fala "Nailobi iko na blidge?" Na ni obvious Nairobi sio pwani😂😄😄😄😂, aliumizwa na ukweli alilo ambiwa na yeye pia., wanapata tabu sana😂😂😂😂😂
 
Dogo, ikija makAZI

Wewe dogo wanchekesha sana😂😂😂😂 alafu unataka I battle with u blind patriot!!.., See your life now😂😂😂😂😂 nilisema Tz bado sana unabweka bweka kwa maumivu, nilijua utajiumbua tu.., Try Ugandan towns been there, mnaeza level kaka, sio madharau ni ukweli bro.., mko way below!!!., Kwanza makazi ya kawaida.., low life village type ndio zenu.., ukitaka kesho naweza nikakukasirisha na facts after facts ukatafuta akina Kibera ili kujikomboa., Mimi ndio bakora ya mitanzania wenye kiburi kama wewe😂😂😂😂., kojoa ulale dogo tu.
Kumbe we jamaa ni jitu Zima tahira eeh 😂😂😂..naona unajifurahisha tu nyie mnamaendeleo gani kwenye hizo City zenu outside NAIROBI kusema kwamba mnatubeza, we jamaa ni fala nini.? Nje ya NAIROBI mji wenye makazi at least mazuri kidogo kwa wingi ni huu Nakuru 👇. What's so special in here.? Hapa kuna tofauti gani na hapa, famba wewe 👇. Na hii ni nje kabisa mbali na mji wala hata majority hawapajui .. unataka kudanganya nini we maku .. kha.!!
 
Ona sasa bado unaonyesha ujinga wako peupe.., 😂😂😂😂., Nakuru haiwezi fikia Mombasa ata kidogo.., ata Eldoret kwa residential kwa ujumla inaweza toa Nakuru kamasi.., mko ovyo kwa Kenya wacha kujikaza na kiswahili mingi.., don't go that road dogo., I beg u just stop this childish play., Sasa wewe ndio definition ya being desperate.., unaumia kuona Kenya iko juu yenu, sasa umeona Nakuru unadhani hiyo ndio iko juu , kisa haujaona Kisumu kwa residential wewe., Kwa vile hakuna picha ama clips kwa wingi ., Pole sana dogo., Naewaelewa, kushindwa sio jambo rahisi😂😂😂😂😂., zoea ukweli tu
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 Alafu hajui economics ukisoma anavyo kurupuka about debt to GDP ratio utacheka., ama paying toll ya expressway, ana expose his ignorance sana, afadhali angefyata kama hana uwelewa wa specific topic., some Tanzanians are just idiots, ata kwa studio kulikua na mbishi, then akauliza Levo kifala fala "Nailobi iko na blidge?" Na ni obvious Nairobi sio pwani😂😄😄😄😂, aliumizwa na ukweli alilo ambiwa na yeye pia., wanapata tabu sana😂😂😂😂😂
We fala heb tujadili claims za Baba level kwa facts, ni kawaida ya watanzania ambao hawajasoma kuchukulia poa vya kwetu (kasumba) .. usilete porojo, humu ni kurasa ya wasomi sio wapiga nduru, je wewe unayaamini maneno ya baba levo.? Na kama unamuamini kwa mujibu wa baba levo alidai kwamba kwenu kuna flyover nyingi zenye urefu kuliko flyover yoyote DSM je ni kweli.?
 
Ona sasa bado unaonyesha ujinga wako peupe.., 😂😂😂😂., Nakuru haiwezi fikia Mombasa ata kidogo.., ata Eldoret kwa residential kwa ujumla inaweza toa Nakuru kamasi.., mko ovyo kwa Kenya wacha kujikaza na kiswahili mingi.., don't go that road dogo., I beg u just stop this childish play., Sasa wewe ndio definition ya being desperate.., unaumia kuona Kenya iko juu yenu, sasa umeona Nakuru unadhani hiyo ndio iko juu , kisa haujaona Kisumu kwa residential wewe., Kwa vile hakuna picha ama clips kwa wingi ., Pole sana dogo., Naewaelewa, kushindwa sio jambo rahisi😂😂😂😂😂., zoea ukweli tu
We fala usichokijua ni kwamba mimi ni shabiki wa African travella video zote anazoenda kuhangaika kuipigia kifua Kenya nimezingalia, naijua Kenya kupitia yeye, wew bwege utaniambia nini? .. naona unaitaja mombasa 😂😂😂.. Mombasa kuna nini zaidi ya CBD na hotels zilizo kando ya bahari and few apartments.? Hii sindio mombasa 👇. We unafkiri kuna watu wanaishi mazingira ya hovyo hivi kwenye majiji tz .?
 
Nakwambia hivi tofauti ya nyinyi na sisi ni kujitangaza tu otherwise hakuna kitu mnatushinda. At least kwenye battle ya DSM na NAIROBI mnaweza kututoa jasho ila kwa cities outside NAIROBI and Dar es Salaam aah hapo hamtuwezi.. tena kwenye suala la individual development level hapa ndio nyinyi ni makolo kabisa.. nakuhakikishia HAMTUWEZI...
 
We fala heb tujadili claims za Baba level kwa facts, ni kawaida ya watanzania ambao hawajasoma kuchukulia poa vya kwetu (kasumba) .. usilete porojo, humu ni kurasa ya wasomi sio wapiga nduru, je wewe unayaamini maneno ya baba levo.? Na kama unamuamini kwa mujibu wa baba levo alidai kwamba kwenu kuna flyover nyingi zenye urefu kuliko flyover yoyote DSM je ni kweli.?
The point the guy was trying to make ni obvious, Nairobi iko way ahead ya Dar by far, na huo ni ukweli ambayo sio yeye pekee amedhibitisha, hizi picha mnazo tuwekea humu angles za kuficha ukweli hazitawakomboa.
Kwa mfano, kuelezea fikra zenu; masikini akinunua flat screen na aone tajiri ako n flat screen pia, ni yule masikini jeuri na mpumbavu ndio atadhania yeye ni mwenzake tajiri, ndio akili zenu. wengine na kiburi wanaona wanaweza ku debate na SA kisa BRT., your reasoning doesn't warrant a response. Akili yako ni fupi kaka, inajidhihirisha kirahiai sana kupitia hizi fikra zako. Kalale dogo ni usiku.
 
Umesoma mpaka darasa la ngapi.? Ona mifano unayoitoa, we huwa ni chizi eeh.? Kwahyo nyinyi ni matajiri mbele yetu.? Taifa ambalo shirika la ndege sio mali yenu serikali inamiiki ndege tatu tu vs sisi ambao tunavyoongea saiv tumeshanunua ndege 17 .. mradi wenu mkubwa ni express way ambao ni mkopo, reli ya SGR mkopo, uliza sisi kwa Dar pekee kuna miradi mingapi mikubwa tunafanya.? Flyover tatu ar underway, BRT phase 2, daraja kubwa juu ya maji zaidi ya 1.2km .. miradi ya barabara . Mmeshawahi kuwa na vingi Kati ya nilivyotaja hapo.? Tunatengeneza almost 1500km of SGR . Nyie mko na km ngapi Hadi mjiite matajiri, we jamaa ni tahira eeh.? 😂😂😂
 
We fala usichokijua ni kwamba mimi ni shabiki wa African travella video zote anazoenda kuhangaika kuipigia kifua Kenya nimezingalia, naijua Kenya kupitia yeye, wew bwege utaniambia nini? .. naona unaitaja mombasa 😂😂😂.. Mombasa kuna nini zaidi ya CBD na hotels zilizo kando ya bahari and few apartments.? Hii sindio mombasa 👇. We unafkiri kuna watu wanaishi mazingira ya hovyo hivi kwenye majiji tz .?

Kwani African traveller ame cover Mombasa yote kilaza? Wewe unajua Kenya kupitia Afrikan traveller Mimi naijua Kenya zaidi ya video za Afrikan traveller, hiyo Mombasa, unadhania Afrikan traveller ame cover Buxton area, Tudor, Bamburi, Bombolulu? Shanzu je?., jamaa alicover tu CBD kwa wingi na sio yote., Unatafuta slum ili ujiliwaze ona ulivyo boya, Eldoret jamaa amecover less than half unajua hilo?., usiwe mwepesi wa kukurupuka dogo., uliza tu ama chunguza pole pole, try other youtubers, Kama Liv Kenya yeye ame cover Mombasa na pwani sana kuliko Afrikan traveller ambaye huwa anapita tu juu juu, Liv ana cover street level, hana drone but nice camera..., Naona unajaribu sana kutetea Tz but hautofaulu kwa kupingana na ukweli ulio wazi, nakuhakikishia dogo.
 
Umesoma mpaka darasa la ngapi.? Ona mifano unayoitoa, we huwa ni chizi eeh.? Kwahyo nyinyi ni matajiri mbele yetu.? Taifa ambalo shirika la ndege sio mali yenu serikali inamiiki ndege tatu tu vs sisi ambao tunavyoongea saiv tumeshanunua ndege 17 .. mradi wenu mkubwa ni express way ambao ni mkopo, reli ya SGR mkopo, uliza sisi kwa Dar pekee kuna miradi mingapi mikubwa tunafanya.? Flyover tatu ar underway, BRT phase 2, daraja kubwa juu ya maji zaidi ya 1.2km .. miradi ya barabara . Mmeshawahi kuwa na vingi Kati ya nilivyotaja hapo.? Tunatengeneza almost 1500km of SGR . Nyie mko na km ngapi Hadi mjiite matajiri, we jamaa ni tahira eeh.? 😂😂😂
Ona sasa, kha!., kesho nitakushushia facts utaihama jf wewe., yaani mko ovyo, inabidi tujishushe chini kwa level ya watoto wa chekechea ili angalau muelewe lakini mmeganda akili kishenzi😂😂😂😂😂., Kalale unatia huruma na haya mapungufu yako dogo., Ona hizi reasoning za ki propaganda 😂😂😂😂😂😂😂.,
 
Back
Top Bottom