NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,008
- 19,180
The Nairobi expressway elevated section is 11.2km long. Mwenge to tegeta is 12km. You just proved Baba Levo is very accurate.Mi mwenyewe nimecheka kinoma!!!!This baba Levo malaya wa mitandaoni mnaweza mkampa elfu 10 inamtosha!!!Ndo shida ya jobless unadandia kila kitu ilimradi tumbo lijae mara siasa mara kafungwa mara muziki mara chawa kuna ambavyo anaongea humo ni vitu ambavyo hata havipo!!!Dunia ya leo iko kiganjani utajifichia wapi??!!!Uongo utadhihirika tu ni uongo tumeni hivyo vitu anavyozungumzia humu tuvione ili tuamini!!! flyover ya km 12 Mwenge Tegeta 😀.Baba Levo next to Nabii Tito 😀.