Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nasikia bei ya kawaida moja moja ni million 50, ila hizo zimejujuliwa kwa million 89 kila moja.

IMG_1621847691.830042.jpg
 
Kwn bado mada yako unaendelea nayo mzee[emoji1787][emoji1787]
Nicxie kazi imeshaisha huku, mnenguaji leo kaingia cha kike..nadhani ukifuatilia comment zake utakuta jamaa keshakata tamaa kitambo tu hta mada hana hamu nayo tena
Huyu hata yenye mwenyewe hajielewi sasa sisi tutamwelewaje? Jamaa anasisitiza eti nimletee nyumba za watu wanamiliki nyumba nairobi. Eti nyumba zilizojengwa kwa ndoto zao. Sasa nashangaa anataka nimletee picha ya nyumba niweke hadi number ya simu ya contractor na mwenye nyumba ndio apige simu aulize kama nyumba ilijengwa kulingana na ndoto za mwenyewe. Kama kuna mtu amechanganyikiwa kwenye huu Uzi ni huyu kilaza
 
Jomba mm nmekuleta Nyumba za kawaida tuu za bei nafuu ambazo ukienda sehemu yoyote Dar utazikuta na hapo zipo zinazouzwa au kupangishwa na sio estate izo na hazikujengwa kwa minajli ya kupangishwa au kuuzwa
Kwani uelewa wako wa neno estate ni nini jamani? Mbona hamueleweki?
 
Nicxie before zooming newyork and after zooming [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzungu hawezi kua mjinga aone slum za dunia nzima asione ya dar [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] subiri dunia iumbwe tena alaf utapata slum dar [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1795619View attachment 1795621
kudadeki wanaona density hiyo kwanza,,,


nairobi bado changa sana,,,,,wanataka picha ilipigwa kwa juu waone maspace

wakenya washamba sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuja Nairobi utalii Runda, Muthaiga, Karen, Lower Kabete, Spring Valley, Kyuna, Loresho, Lavington na sehemu zingine nyingi utaziona hadi uchoke. Tumezipost humu hadi tujachoka, sema tu unapenda ubishi
sasa wewe chokoraah unataka tutembee sehemu ambayo ukiangalia nyumba moja haina haja ya kuangalia nyumba nyingine....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sasa hapo ninakuwa nimetalii nini ,si mtu unaonekana chizi zaidi na zaidi mtu ataangalia nyumba mbili tatu na ataona mifanano houses kisha atakuambia nirudishe niliko toka

sababu hiyo nyumba moja ukiiangalia unapata taswira ya nyumba zote zilizozunguka nairobi
 
Back
Top Bottom