ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nikuulize swali kwann nusu ya nairobu ni misitu ??? Unaeza nijibu hilo swali kwa umakini wa hali ya juu??🤣🤣🤣🤣How is Westlands part of Nairobi cbd? You can clearly see cbd and upperhil in the background. Mbona unapenda ubishi hivi?
Back to that picture, tulishakuambia kwamba Nairobi tunazingatia zaidi utunzaji wa gree spaces, just like many other cities around the world. Usiforce tufanane nanyi kijana.
Angalia Johannesburg ilivyo na iko hapa hapa Africa.
View attachment 1795251View attachment 1795252View attachment 1795253View attachment 1795254View attachment 1795255View attachment 1795257View attachment 1795258View attachment 1795259View attachment 1795260
Unaonaje hizo 'Misitu'? Is Dar better than Jo'burg in anything just because Dar doesn't have green spaces but Jo'burg has? Anzeni kupanda miti Dar kijana na muache kelele usiku na mchana. Sitachoka kuwaelimisha