Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuja Nairobi utalii Runda, Muthaiga, Karen, Lower Kabete, Spring Valley, Kyuna, Loresho, Lavington na sehemu zingine nyingi utaziona hadi uchoke. Tumezipost humu hadi tujachoka, sema tu unapenda ubishi
sasa wewe chokoraah unataka tutembee sehemu ambayo ukiangalia nyumba moja haina haja ya kuangalia nyumba nyingine....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sasa hapo ninakuwa nimetalii nini ,si mtu unaonekana chizi zaidi na zaidi mtu ataangalia nyumba mbili tatu na ataona mifanano houses kisha atakuambia nirudishe niliko toka

sababu hiyo nyumba moja ukiiangalia unapata taswira ya nyumba zote zilizozunguka nairobi
 
naxvegas pia ina msitu, miche na vichaka. umeridhika
nakuru a9.jpg
nakuru1.jpg
nakuru01.jpg
nakuru a6.jpg
nakuru a8.jpg
 
Huyu hata yenye mwenyewe hajielewi sasa sisi tutamwelewaje? Jamaa anasisitiza eti nimletee nyumba za watu wanamiliki nyumba nairobi. Eti nyumba zilizojengwa kwa ndoto zao. Sasa nashangaa anataka nimletee picha ya nyumba niweke hadi number ya simu ya contractor na mwenye nyumba ndio apige simu aulize kama nyumba ilijengwa kulingana na ndoto za mwenyewe. Kama kuna mtu amechanganyikiwa kwenye huu Uzi ni huyu kilaza
Hyo ndio kilaza namba moja kw sasa, tena wa rekodi ya juu kabisa na wala haijawahi kutokea

Tena kibaya zaidi wenzake wanamuogopa hata kumlinga huaga wanashindwa wataanzaje
 
sasa wewe chokoraah unataka tutembee sehemu ambayo ukiangalia nyumba moja haina haja ya kuangalia nyumba nyingine....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sasa hapo ninakuwa nimetalii nini ,si mtu unaonekana chizi zaidi na zaidi mtu ataangalia nyumba mbili tatu na ataona mifanano houses kisha atakuambia nirudishe niliko toka

sababu hiyo nyumba moja ukiiangalia unapata taswira ya nyumba zote zilizozunguka nairobi
Emu rudia tena[emoji1787][emoji1787]
 
Hujui kusoma?
View attachment 1796130
Wewe unayeishi Dar tuambie hapo ni wapi
Where is the name of place ni wapi mbona ukitaja tandale au mwananyama unasema hapo hapana jina ama 🤣🤣🤣🤣 au ndio zile picha za google slums za india zinaonesha ziko dar ukipata ni which place tag me alaf uone kwann mzungu haweZi kua kichaa
 
Back
Top Bottom