Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuja Nairobi utalii Runda, Muthaiga, Karen, Lower Kabete, Spring Valley, Kyuna, Loresho, Lavington na sehemu zingine nyingi utaziona hadi uchoke. Tumezipost humu hadi tujachoka, sema tu unapenda ubishi
Nioneshe sasa 🤣🤣🤣🤣 naona swali langu unalikwepa kwasababu lamoto
Mm naona estates tu sioni nyumba walizojenga matajiri wa nairobi kwa dream zao 👇👇👇 kama mm nadanganya sema
62016FC7-0E46-4EAB-95BC-BFCDAA31A776.jpeg
0C10A57A-9C4E-4539-A5D6-EC0848C4096C.jpeg
 
Wamerent, na watanzania ndio wamiliki wa hizo nyumba
So jibu rahisi nikwamba matajiri wanairobi hawajajenga nyumba zao kwa dream zao instead wamenunua nyumba za estate au wame rent 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hilo dude la vitumbua la kwanza mlisave vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nadhani hilo toroli linapata sana shida sana hapo.
Manake vitumbua sijui vya mama gani hapa dar vinaeza kua sawa 🤣🤣🤣🤣🤣
 










Wakenya bhana mkiambiwa mposti dream houses mnaposti ma estate
Chekini nyumba izo simpo ☝ hamna cha kufanana na majirani

Hawawezi na hawatakua nazo mpaka kiyama na ndio maana unaona swali langu ni la moto sasa analikwepa kwepa 🤣🤣🤣 nilitaka nimfundishe kitu leo asingenisahau mpaka kufa 🤣🤣🤣🤣🤣
 










Wakenya bhana mkiambiwa mposti dream houses mnaposti ma estate
Chekini nyumba izo simpo ☝ hamna cha kufanana na majirani

Wewe ni kilaza tu. Uelewa wako wa neno estate ni nini? Na iweje leo nyumba za kupangisha zinapatikana Dar wakati kila siku hapa tunaambiwa kila mtu anamiliki nyumba Dar? Hao wanaopangisha ni wakenya?

Tuzijaze server but Garden estate kuna better versions of what you call dreamhouses
Screenshot_20210524-094802~2.png
Screenshot_20210524-095555~2.png
Screenshot_20210524-095729~2.png
Screenshot_20210524-095655~2.png


Screenshot_20210524-095326~2.png
 
Jamaa unapata tabu sana yn mpk unaokota picha za mtandaoni, Nicxie hizo picha co za Tz usifosi tuwe km nyie mkuu unajiumiza bure, hakuna mazingira km hayo Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Anachoforce yeye kwann mzungu kaona slum za dunia nzima hakuonza za dar hajui kwamba huyo huyo mzungu anauwezo wakuzoom mpaka akaona chupi yake imeanikwa juu ya kamba 🤣🤣🤣🤣
 
Soma swali vzr na ujibu kwa ufasaha nimekwambia niletee nyumba zilizojengwa na matajiri wa kenya tofaut tofaut nyumba za dream zao ukipata unitag sasa nianze kukupa soma vzr kwa utulivu 🤣🤣🤣🤣
Hatuna matajiri Kenya
 
Wewe ni kilaza tu. Uelewa wako wa neno estate ni nini? Na iweje leo nyumba za kupangisha zinapatikana Dar wakati kila siku hapa tunaambiwa kila mtu anamiliki nyumba Dar? Hao wanaopangisha ni wakenya?

Tuzijaze server but Garden estate kuna better versions of what you call dreamhouses
View attachment 1795918View attachment 1795919View attachment 1795921View attachment 1795922

View attachment 1795917
Hii ni ruai na ni estate au mm ndanganya kunachouzwa hapo ni moja ya jengo ndani ya majengo yaliondani ya estate🤣🤣🤣👇 tatizo lako ww unahasira sana just cool down elewa swali alaf jibu kwann unapanic budaa
2EB19E0A-61C3-410A-B8D9-955FFF1943D6.png
 
Back
Top Bottom