The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Jalala City in the slum, nmecheka sn


















mi naona huyu ndio anafaaHuyu au mpango tukiwapa tutarudi kwenye msingi
Na uchafu mnamuachia nani?!greenery greenery Miji mingi mikubwa duniani iko kwa fukwe!!!! Rivers and Lakes....ndo maana mnahangaika kila kukicha sijui nini sijui nini mara greenery mara Mbuga ya wanyama.. nonsense,si sisi tuliowataka mdevelop Nairobi over Mombasa ambayo ilikuwa na port kubwa kitambo!!!Ukabila umewajaa ,mmewanyonya sana watu wa pwani katika harakati za kuindeleza Nairobi... maana Nairobi hamna kitu pale cha kushika, Mombasa hamjaitendea haki kbs,haki yake mmepelekea watu wa Nairobi..those Cartel.I had a Nigerian friend over a few months ago and he was impressed at the greenery in Nairobi and wished they had replicated the same in Nigeria. In fact, any time someone visits Nairobi for the first time, it is the greenery that impresses them.
Hapa Dar haijaisha. A million pics imagine! 😂Hapo nairobi imeisha just one pic imagine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii povu yote ni ya nini sasa? Nairobi imekuosea nini? Kama kuna watu wanafaa kucomplain ni watu wa Machakos, not Mombasa. Niulize ni kwa niniNa uchafu mnamuachia nani?!greenery greenery Miji mingi mikubwa duniani iko kwa fukwe!!!! Rivers and Lakes....ndo maana mnahangaika kila kukicha sijui nini sijui nini mara greenery mara Mbuga ya wanyama.. nonsense,si sisi tuliowataka mdevelop Nairobi over Mombasa ambayo ilikuwa na port kubwa kitambo!!!Ukabila umewajaa ,mmewanyonya sana watu wa pwani katika harakati za kuindeleza Nairobi... maana Nairobi hamna kitu pale cha kushika, Mombasa hamjaitendea haki kbs,haki yake mmepelekea watu wa Nairobi..those Cartel.
Sina tatizo na Nairobi ila mmezidi sana kuipamba,too much talk about greenery ya kwny miji mikubwa ni parks na miti inayopandwa pembezoni mwa barabara na pengine michache katika majengo ili kuleta vivuli plus kwenye rivers ili kuzuia soil erosion na sio machaka ya vibaka tofauti na hapo ni forest zinazopatikana nje kbs ya mji ili pia mji upate kubreath.Hii povu yote ni ya nini sasa? Nairobi imekuosea nini? Kama kuna watu wanafaa kucomplain ni watu wa Machakos, not Mombasa. Niulize ni kwa nini
Naona ofisi za NMG na mbona hawakemei uchafu kuzunguka ofisi zao?Jalala City in the slum, nmecheka snView attachment 1795681View attachment 1795682View attachment 1795683
Afadhali misitu kuliko uswazi. Mtu akiambiwa achague sehemu moja ya kuishi kati ya hizi sehemu mbili unafikiri atachagua wapi? Misitu ama uswazi? 😂 😂 😂Nilichogundua ni kwamba misitu ya Nairobi ina wenyewe![]()
Angalia kwanza machaka ya Johannesburg ndio uje utoe povu ndoo nzimaSina tatizo na Nairobi ila mmezidi sana kuipamba,too much talk about greenery ya kwny miji mikubwa ni parks na miti inayopandwa pembezoni mwa barabara na pengine michache katika majengo ili kuleta vivuli plus kwenye rivers ili kuzuia soil erosion na sio machaka ya vibaka tofauti na hapo ni forest zinazopatikana nje kbs ya mji ili pia mji upate kubreath.
Mzee usitujazie server na nyumba moja moja, leta jina ya mtaa na aerial🤡🤡
Tunaongelea green spaces bongolala. Fatilia thread. Unazoom ndio tuone nyasi au miti?
Ukimaliza uzoom na hizi pia
Hii kuzoom yako haikusaidii chochote bongolala. Linganisha hiyo zoom yako ni hizi mitaa za kawaida nairobi kisha niambie nafuu iko wapi?Mm nafanya kukusaidia tu 🤣🤣👇👇 bandari college after zooming usipanic lakiniView attachment 1795617View attachment 1795618
Nicxie narudia kukuuliza nioneshe dream house za matajiri wa nairobi waliojenga kwa dream zao wao wenyewe alaf kupitia hilo swali kuna kitu utajifunza 🤣🤣🤣🤣🤣
Wamerent, na watanzania ndio wamiliki wa hizo nyumbaNicxie unatuonesha estates alaf unatuamhia ndio sehemu matajiri wanaishi hvi nyinyi wakenya muko serious 😀😀😀 hata tukifatilia hzi estates wanazoishi watu wenye uwezo utakuta still wame rent au munabisha 🤣🤣🤣🤣
Kwa wale wanaoichukia Kenya itabidi mjinyonge tu maana maendeleo yanazidi kufanyika huku. Sasa tunajitayarisha kuzindua nyaya za umeme kutoka Kenya hadi Ethiopia. Wenye wivu wajinyonge