Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umepanic hasiraa zimejaaaa
Naona jamaa unajisemesha tu[emoji1787][emoji1787]
Au nikupuuze tena leo, manake ulinisifia we mzee wa facts tena nashngaa umehamia kw maneno ya kichoko
 
Ukitaka kumuweza mtanzania we mwambie tu akuletee maeneo ya wengi dar au middle class areas..basi hapo itakua umemchanganya kabisa hata heri uachane naye ukalishe mabata wako mtama..
Suburban kw city ya watu milion 7 kunakaa hvo[emoji1787][emoji1787]
696 km sq nusu yake misitu alaf population 5m kwann kibera watu wasiishi 2.5m people 🤣🤣🤣🤣
 
Naona jamaa unajisemesha tu[emoji1787][emoji1787]
Au nikupuuze tena leo, manake ulinisifia we mzee wa facts tena nashngaa umehamia kw maneno ya kichoko
Ww msaidie mwenzako unazuga nn hapa 🤣🤣🤣 umejileta mwenyewe chukua jukumu unaanza kuniletea maneno ya shombo ya nn sasa
 
For the a millionth time, washaataa hizo sio picha za Dar 😂 😂 😂
Yani hata wao hawana cha kujivunia kuona jiji lao limekabwa koo na uswazi aka dreamhouses kushoto kulia😂 😂 😂 😂 😂
Uswazi republic, mabati yakuungua na choo cha nje😂😂
IMG_20210524_094849_107.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] umekuja kuokoa jahazi la Nicxie nimempa bakora mpaka kakosa jibu sasa ww fanya kumsaidia kujibu
Hahaha!!yani nimetia ukucha dakika chache tu jamaa umeshaanza kujishutia shutia..yani majibu yangu hua yanawagusa kunako, sai mada huna hamu nayo tena baada ya kukugongelea nyundo..

Narudia tena dream house kajenga kwenu hko kw community land[emoji1787][emoji1787]
 
696 km sq nusu yake misitu alaf population 5m kwann kibera watu wasiishi 2.5m people [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushasema tayari km hayo ni maneno ya kuambiwa, sasa ya nini mie nijitombe roho kisa mpuuzi mmoja ameshindwa kungamuwa mambo mepesi katika ubongo wake
 
Hahaha!!yani nimetia ukucha dakika chache tu jamaa umeshaanza kujishutia shutia..yani majibu yangu hua yanawagusa kunako, sai mada huna hamu nayo tena baada ya kukugongelea nyundo..

Narudia tena dream house kajenga kwenu hko kw community land[emoji1787][emoji1787]
Umeanza kutukana sasa kwa hasira kali 🤣🤣🤣🤣🤣 sasa kwann unanitukana nimekukosea nn au kwakua naanika ushuzi wenu

ww msaidie mwenzako leta alichoulizwa unaanza matusi yann sasa 😁😁😁😁
 
Ushasema tayari km hayo ni maneno ya kuambiwa, sasa ya nini mie nijitombe roho kisa mpuuzi mmoja ameshindwa kungamuwa mambo mepesi katika ubongo wake
Kuambiwa na nani??? Mm nimeleta facts hapa mwenzako kaona swali la moto kajikataa ww umevamia swali lijibu sasa unaanza kutoa maneno ya shombo matusi ya nn🤣🤣🤣
 
Ww msaidie mwenzako unazuga nn hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] umejileta mwenyewe chukua jukumu unaanza kuniletea maneno ya shombo ya nn sasa
Naona mzee unatema facts kinoma aisee, "eti mi mzee wa facts" kidogo kidogo umeshanaza kuimba taarab, ujue akili zako pia huenda zinakushangaa kw jinsi unavyozipea wakati mgumu kukielewa kiwiliwili chako
 
So kwann unatoa matusi ya nn sasa🤣🤣🤣 ww umevamia mada jibu tu bila kuanza kutoa maneno ya kikeni 😅😅😅
 
Back
Top Bottom