Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu hata yenye mwenyewe hajielewi sasa sisi tutamwelewaje? Jamaa anasisitiza eti nimletee nyumba za watu wanamiliki nyumba nairobi. Eti nyumba zilizojengwa kwa ndoto zao. Sasa nashangaa anataka nimletee picha ya nyumba niweke hadi number ya simu ya contractor na mwenye nyumba ndio apige simu aulize kama nyumba ilijengwa kulingana na ndoto za mwenyewe. Kama kuna mtu amechanganyikiwa kwenye huu Uzi ni huyu kilaza
Nani kilaza mm au wewe🤣🤣🤣 nimekwambia narudia hili swali ww huwezi kujibu mark my words niletee nyumba za dream ambazo matajiri wenu wamejenga wenyewe ukipata nitag

hili swali huwezi kulijibu mpaka kiyama mark my words 🤣🤣🤣🤣🤣

tatizo lako wewe hili swali ushaliona ni gumu sana sasa unaanza kutafuta siasa za kutokea na ungelijibu hilo swali ningekufundisha kitu usingenisahau maisha yako yote
 
Kwani uelewa wako wa neno estate ni nini jamani? Mbona hamueleweki?
Kwa uelewa wangu mm hii ndio maana ya estate ma ndio ukweli 🤣🤣👇👇👇

estate nyingi nilisema toka mwanzo zinamilikiwa na wachache sana na wao wamefanya investment hio kwa ajili ya biashara ndio maana dream ya kupata plot kwa wakenya wengi haipo kwasababu ardhi iko mikononi mwa wachache

sasa wao wanafanya biashara kwa kujenga majumba na kupangisha kwasababu ni biashara endelevu, house is part of basic need

ndio maana nilikwambia hutakiwi kushangaa kwann kibera alone ina 2.5m people hata hio misitu ya nairobi ina wenyewe dont think ni misitu kuna watu wamehodhi hio ardhi wakisubiri muda tu
C85F8B0A-9A81-4425-B242-04760C43D84B.jpeg
 
Enyewe sisi Africa bado sana. Nimeona hiyo ya New York nikashangaa! We still have a long way to go as a continent
Kumbe unajua sasa ulipokua unafananisha na newyork ulijua ni nn ??🤣🤣🤣🤣
 
Huyu hata yenye mwenyewe hajielewi sasa sisi tutamwelewaje? Jamaa anasisitiza eti nimletee nyumba za watu wanamiliki nyumba nairobi. Eti nyumba zilizojengwa kwa ndoto zao. Sasa nashangaa anataka nimletee picha ya nyumba niweke hadi number ya simu ya contractor na mwenye nyumba ndio apige simu aulize kama nyumba ilijengwa kulingana na ndoto za mwenyewe. Kama kuna mtu amechanganyikiwa kwenye huu Uzi ni huyu kilaza
Halafu hizo dream houses zake ni kama za lower middle class huku wenye wanastruggle kujenga. Yani mtu badala ya kuangalia quality ya nyumba anaangalia Nani kajenga. Hajui top economies mostly people buy houses. Na hapa Nairobi kuna options, ukitaka ya kununua ipo, ukitaka kujenga, unaweza.
 
Kwa uelewa wangu mm hii ndio maana ya estate ma ndio ukweli

estate nyingi nilisema toka mwanzo zinamilikiwa na wachache sana na wao wamefanya investment hio kwa ajili ya biashara ndio maana dream ya kupata plot kwa wakenya wengi haipo kwasababu ardhi iko mikononi mwa wachache

sasa wao wanafanya biashara kwa kujenga majumba na kupangisha kwasababu ni biashara endelevu, house is part of basic need

ndio maana nilikwambia hutakiwi kushangaa kwann kibera alone ina 2.5m people hata hio misitu ya nairobi ina wenyewe dont think ni misitu kuna watu wamehodhi hio ardhi wakisubiri muda tu
View attachment 1796194
kwisha kazi ushauwa kunguni wa kikenya maana imemaliza kila kitu
 
sasa wewe chokoraah unataka tutembee sehemu ambayo ukiangalia nyumba moja haina haja ya kuangalia nyumba nyingine....
sasa hapo ninakuwa nimetalii nini ,si mtu unaonekana chizi zaidi na zaidi mtu ataangalia nyumba mbili tatu na ataona mifanano houses kisha atakuambia nirudishe niliko toka

sababu hiyo nyumba moja ukiiangalia unapata taswira ya nyumba zote zilizozunguka nairobi
Pole kaka kwa maumivu. Nipe aerial view yo mtaa kama huu hapa Tanzania nzima.kama utapata. Hizi ni ndoto za alinacha kwenu
images(30).jpg

Ground level
images(128).jpg
images(129).jpg
images(130).jpg
images(131).jpg
images(132).jpg
images(133).jpg

images(30).jpg
 
Halafu hizo dream houses zake ni kama za lower middle class huku wenye wanastruggle kujenga. Yani mtu badala ya kuangalia quality ya nyumba anaangalia Nani kajenga. Hajui top economies mostly people buy houses. Na hapa Nairobi kuna options, ukitaka ya kununua ipo, ukitaka kujenga, unaweza.
Hzo lower middle class ziko wapi 🤣🤣🤣 au zile bedsitter za kurent ndio wanaitwa middle class🤣🤣🤣🤣 acheni upupu kabisa nani anastruggle kujenga zaidi ya wale wale politicians, taasisi za serekali na wafanya biashara wakubwa bila kuwasahau investors

huku kwetu kila mmoja hupendelea kujenga nyumba kwa kutumia ramani yake na vile anataka sasa ikiwa top level wenu either ananunua nyumba ndani ya estate au ana rent pia coz hzo nyumba zipo kwa ajili ya biashara na hili linakuja kwasababu ardhi nairobi imeshikwa na wachache na hili hiwezi pinga mpaka kiyama 😅😅😅😅
 
Pole kaka kwa maumivu. Nipe aerial view yo mtaa kama huu hapa Tanzania nzima.kama utapata. Hizi ni ndoto za alinacha kwenu
View attachment 1796209

Ground level
View attachment 1796211View attachment 1796212View attachment 1796213View attachment 1796214View attachment 1796215View attachment 1796216

View attachment 1796158
You see again owner wa hio runda estate ni watu watatu wanamiliki estate yote hio wengine kazi yao ni kurent na utakua wanaorent ni matajiri wenu 🤣🤣🤣
Mm nikikwambia kitu ujue nakijua vzr ndani
C742A1F5-1BB4-4180-91B6-F0DA920B3CA3.jpeg

na njia ni zile zile najua unazijua 🤣🤣🤣
0ADEEBF5-54E7-4585-8953-0A014A4ABFE3.jpeg
 
Back
Top Bottom