Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
PreciselyYani wanataka tukae kama wao. Wanachukia greenery ya nairobi just because they have uswazi everywhere. They don't understand that Nairobi si lazima iwe kama Dar and Dar si lazima iwe kama Nairobi. These are two different cities with different concepts, ideologies and priorities. They have their uswazis, we have our greenery. Let's move on!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hasiraaaaa weeeeeeehNilishakujibu kwamba matajiri hawapo Nairobi. Ama hiyo si jibu?
Rudi page 5 za nyuma ukasome alaf uje unijibu vzr bila hasira 🤣🤣🤣🤣Majumba gani hayo yaliyojengwa kw ndoto dar
We mzee si ni wa kupuuzwa, wanaochora plans si ni architect alafu wapanga miji wakisema hapa tunataka formular we nanai wa kupinga..
We wajua sai mombasa kuna sehemu huwezi jenga unavyotaka wewe mpka ufuate protocals za wapanga miji
Watu wanachezea KCZ na KDA KDB sai, usikasirike lkn
India msaada wamepata
View attachment 1795894
Sawa kijana wa TandaleKwa hiyo unatafuta usaidizi kwa Jo'burg!????..
Nairobi ni dense forest with two or three buildings..nothing special
Mzee hizi canter huzioni ama 😂😂 2021 kuna watu wanasafiri na canter😁😁😁Haya ona sasa anapost tipper za mchanga kisa amekasirika 🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona unanilalamikia sana tokea janasio muda wa hasira ni muda wa facts bila kupanic
we una facts gani kilaza wa kawaida tu
Sasa unajifanya hujaona hayo majina yameandikwa chini ya hizo picha ama leo umekuwa kipofu?Hebu tuambie hayo maeneo yanaitwaje sisi tukusaidie kuleta picha nzuri na bora kwakukusaidia ww na kuwasaidia wakenya wenzio ukipata majina naomba unitag mm
Umesahau tuliwasaidia mpaka nyinyi wakati wa earthquake.Wakenya mna utani na maishaa aisee 😂😂😂😂😂😂😂
Umekula jibu murwa mpka umechnaganyikiwa, kila mji unataratibu zake na hakuna kitu km nyumba za ndoto zako hku..Rudi page 5 za nyuma ukasome alaf uje unijibu vzr bila hasira![]()


Dar es salaam 👇👇👇👇NY
View attachment 1795986
London
View attachment 1795988
New Delhi
View attachment 1795992
Nairobi
View attachment 1795996
Wanaumia snaa, eti mji wa watu milion 7 suburban areas kuna kaa kifala hvo, yani km kijiji kikubwa vileHii Dar yenu mlianza kuikana mwaka juzi na bado mnaikana hadi wa leo. Hamchoki? Aren't you people proud of the city you live in and your so-called dreamhouses? Uzuri ni kwamba the internet never forgets
View attachment 1795943View attachment 1795944View attachment 1795945View attachment 1795946View attachment 1795947View attachment 1795948View attachment 1795949
Be proud of what you sow


Watoe wapiHawawezi na hawatakua nazo mpaka kiyama na ndio maana unaona swali langu ni la moto sasa analikwepa kwepa 🤣🤣🤣 nilitaka nimfundishe kitu leo asingenisahau mpaka kufa 🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ni zanzibar culture tena iko ushagooo 🤣🤣🤣🤣 kama vile lamu culture 👇👇👇Mzee hizi canter huzioni ama 😂😂 2021 kuna watu wanasafiri na canter😁😁😁View attachment 1795993View attachment 1795994
Iko dar au iko wapi??? 🤣🤣🤣🤣Nipe maoni yako kuhusu ili jambo😂😂😂View attachment 1796002